Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo, kwa kifupi, hao wadada wanagombania nguo?
Kiswahili chako huwa kinanichekesha sana.
Mange ana Id nyingi instagram moja ni JyamaudakuHamisa alimtumia Mange kurusha hayo instagtam. Mange ana akaunti anazoendeleza yale yake ya kawaida ya kuchamba watu.
Kwa ya kawaida anajifanya bizi sijui nini.. yupo kama kawa
So ndipo walipoanzia.. unajua mange akihusika huwa hakuna hayo
Ila wakabadili kwamba design ya hamisa kumbe waongo
Mengine watajiju
Ila mleta udaku huu uwe unaleta na screeshot za hayo au unayakopi.. sio kuandika yako na kusepa.. hata picha!!!
Mange ana Id nyingi instagram moja ni Jyamaudaku
hahaha...eti am baackWanaume wengine ni wajinga sana pumbavu zao.
Mkeo anashikaje simu na kuandika ujinga kama huo na wewe upo?
Na usiku mnalala?
Watu tukistaarabika tukikwazwa tunatafuta njia ya kistaarabu zaidi na kuitumia, siyo kuandika usenge all over.
Binafsi mtu wangu akiweka status whatsapp isiyoeleweka namwambia atoe na hilo siyo la kujadiliwa, ni itolewe. FB siwezi kumcontrol kwakua sipo FB.
Mmoja alipoteza simu nikajichanga nikamnunulia simu, dakika kadhaa naona status 'Am baaaaaaack' nikamwambia toa hiyo status.
Akatoa vizuri tu.
Sasa hawa wengine vipi? Au wanalelewa?
Tulienda viatu anachukua kwa frank knows yeye anatuambia 90, tukauliza vina TV [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani uchokozi tu.
By @hamisamobetto . . - First Of All Me sio Mtu wa Kujibishana Na watu insta Ndo maana always nakaaga Kimya . ...... Tangia Nimefungua @mobettostyles Kila siku imekua Jipya . Secondly sijawahi Sema Popote kuhusu mshono Wa Shughuli yako wala kuandika kwa My page so probably one of your friends kayapeleka sehemu . My dear ulivyokua hujanialika kwenye shughuli yako nilibezwa kuchekwa kutukanwa and all siku jibu wala ongea popote kwasababu kila mtu ana uhuru wa kuchagua watu atakao . . Ulinitafta Tumechagua Mishono umeenda shona kwengine sijawah lalamika my dear wala kusikitika Coz ridhki mafungu saba na kila likuepukalo najuaga huwa lina kheri na Mtu . . Hivyo basi kama mtu mzima ungeskia kitu ungenifata na kunambia lakin no umeamua kunichafua just because uweze lala vizuri usiku . #MniacheJamani #MaanaNadhanSikuMkinitoaRoho #MtafurahiaSana
Ila nyie viumbeee una mambo aitheee daaaahKiini cha ugomvi ni Zama kuufahamisha ulimwengu kuwa sherehe ya 40 ya mwanae iligharimu milioni 20.
Malalamiko ya nguo ni madogo kuliko majisifu ya gharama za sherehe na life style yake ya sasa hivi.
I agree.Why don’t they just meet up and shoot the fair one? World star hip hop style..
That’s the way I like it and that’s the way we did it back in the day.
Social media beefing is for cowards.
Sawa....swali nje ya Mada,Moja ya sababu ambazo zinaweza sababisha mtu asiruhusiwe kunyonyesha watoto..ni pamoja na maradhi ya oma ya ini na ndugu yake mkubwa...
Lakini pia anaweza kutonyonyesha kutokana na maziwa kuto toka kabisa
Pia mtu anaweza kutonyenyesha baada ya kuamua tuu ili kulinda mwili wake hasa maziwa kishuka na mabadiliko mengine yanakuja baada ya mtu kuanza kunyonyesha....
Urongowananyonyesha siku hizi kama wanatumia dawa vzr kwa muda wa miezi 6
msg si hizo hapo it means idea ya mshono ni ya hamisa