Sanaa tuLeo Dina atalala usingizi mzuri
Basi sijaona hyoHapana ndio maana kwa post namba moja umekosea..
Ni zama alimtumia hamisa msg yenye mshono alioushona
So kwa hamisa ilikuwa kwenda kushona na hakushona. Za hamisa hakuzichagua
Yote yapo humu inakuwaje hujaelewa!?
Mpenzi wako kichwa[emoji122] [emoji122]Na ameridhika uwe mlevi wa JF? Mi niliambiwa nikikutwa jf penzi linakufa, likafa.
Kwahiyo umesikia raaaaha mi kuachwa?Mpenzi wako kichwa[emoji122] [emoji122]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kina nani wamechanga kwenye magrupu au bongo movieZama kapanick watu wamechachama wamemchangia pesa ya 40 hawajapewa kadi ya mualiko . yeye ana force kusema shughuli kafanya kwa pesa zake nadhani kwa hili Hamisa kafanywa mbuzi wa kafara Zama apambane na watu wake wa kwenye magroup yake ya ujasiriamali.
Zama ni mnaafiki wa chinichini yule ni chui kwenye ngozi ya kondooo!watu wamemchoka ila wanaogopa kusema sijui kachawiIla zama kachambwa vibaya....kiufupi siri zake zote mwaa
Na migazeti yake ya mwananchi anajikutaga mwee[emoji108] [emoji108] [emoji108]
Ukweli uko wapi?Urongo
Karmaaaa[emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]Leo Dina atalala usingizi mzuri
Ule mshono mzuri sanaa sema hana mwili wa kuvalia ule mshonoLimshono lenyewe baya kama gunia!...wala halikumprndeza!
Vijana mna mambo!
BurundiHivi zama ni wa kashozi eeeh?!
Zama mnaafiki kuliko wote wadada wa mjiniBasi sijaona hyo
Aisee Naomba usilete lile Gazet huku utatujazia server [emoji23] [emoji2] [emoji2]By . . . @zamaradimketema - PART 1. Imenilazimu niongee haya kwa minajili ya kulinda BRAND YANGU na watu NILIOINGIA NAO MKATABA KWASASA hivyo mniwie radhi nitaowakwaza. Zamani wachawi walikuwa wanajificha wanasubiri giza liingie wapae, ila siku hizi wachawi wamehamia INSTAGRAM wazi kabisa, wanapoona kuna MAFANIKIO, HESHIMA ama MAPENZI kwako watatafuta kila sababu ya KUKUSHUSHA NA KUKURUDISHA CHINI MAKUSUDI kwa kutafuta na kutunga UONGO NA UZUSHI bila uoga wala haya ya kuona wanaongopa, lengo ni kukushusha mfanane, nataka niseme HATUTAFANANA!! Na nimeamua kuongea maana hata UONGO UKINYAMANZIWA SANA HUAMINIKA. baada ya 40 ya mwanangu kupita, kuna wapuuzi wenye chuki wamejitokeza na kuanza kusema mimi nimechangisha hela ya kufanya 40, hivi hii inaingia akilini!!?? kwanza kabisa huo sio utaratibu wangu na kwangu hilo ni swala la aibu sababu sherehe kama ya 40 ni HIARI sio kitu cha lazima, mwanzoni walisema nimechangiwa na wanakamati kutokana na group la rafiki zangu kwa mapenzi yao kujikusanya kuninunulia ZAWADI YA SURPRISE ambayo ni SETI YA DHAHABU waliyonikabidhi siku ya sherehe, tena sikujua hiko maana hata kwenye group walinitoa ili iwe surprise kwangu, na lengo la group mwanzo ilikuwa ni SARE ila baadae wakanitafutia zawadi kwa mapenzi yao kwangu na jinsi TUNAVYOISHI, ila hakuna mwanakamati wala mtu baki hata mmoja aliewahi kunipa hata SHILINGI MIA kama mchango kwangu au kunilipia chochote na SIJAWAHI KUOMBA sababu sio utaratibu wangu na kwenye lile NILIJITOSHELEZA, hivi mmeshindwa kutofautisha ZAWADI NA MICHANGO!?? Sababu tu ya kuona wenzangu wana mapenzi kiasi gani na mimi kuna wengine wanaumia tu na wanabadilisha mada kuwa nimechangiwa, kweli!?? Kama nina uwezo wa kumlaza mwanangu kwenye chumba cha Dola 1000 na upuuzi karibu milioni TANO kwa siku tulizokaa achilia mbali Ndege na vinginevyo kwa ajili ya birthday tena nje ya DSM na sikuchangisha leo iweje nichangishe!? Kama niliweza kufanya EVENT ya wanawake wenzangu BURE iliyonicost sio chini ya MILIONI NANE tena bila kusaidiwa na mtu YOYOTE kwa mapenzi tu na kutoa elimu na hawakulipa viingilio leo iweje nichangishe!?? Sio kila mtu ANAPENDA KUJISHAUA NA KUONGEA AMA KURINGISHIA, tusilazimishane tabia
Kabisa maana wengine tulikua hatujui hili wala lile.... Wala yaho maugomv yao yaliyokua yanaendeleaKiini cha ugomvi ni Zama kuufahamisha ulimwengu kuwa sherehe ya 40 ya mwanae iligharimu milioni 20.
Malalamiko ya nguo ni madogo kuliko majisifu ya gharama za sherehe na life style yake ya sasa hivi.
40 ya 20 mil? Watu wana hela si mchezo. Kwa usawa huu wa Magu?Kiini cha ugomvi ni Zama kuufahamisha ulimwengu kuwa sherehe ya 40 ya mwanae iligharimu milioni 20.
Malalamiko ya nguo ni madogo kuliko majisifu ya gharama za sherehe na life style yake ya sasa hivi.
Wamemchoka maana zama nae ana yake mjini!!Ila zama alichokua anategemea kukipata hajafanikiwa naona kaishiwa kuchambwa tu na walimwengu [emoji16][emoji16].
Watu wamemgeuka hana hamu, alijua watu wata support kila anachokifanya kumbee....
Labda anakula mbolea kuongeza kingaKwa hyo Zama hanyonyeshagi kwa ajili ya kujikeep.mwili wake nadhani si mnaona jinsi alivyo kama hajazaa juzi