Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Zama kapanick watu wamechachama wamemchangia pesa ya 40 hawajapewa kadi ya mualiko . yeye ana force kusema shughuli kafanya kwa pesa zake nadhani kwa hili Hamisa kafanywa mbuzi wa kafara Zama apambane na watu wake wa kwenye magroup yake ya ujasiriamali.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kina nani wamechanga kwenye magrupu au bongo movie
 
By . . . @zamaradimketema - PART 1. Imenilazimu niongee haya kwa minajili ya kulinda BRAND YANGU na watu NILIOINGIA NAO MKATABA KWASASA hivyo mniwie radhi nitaowakwaza. Zamani wachawi walikuwa wanajificha wanasubiri giza liingie wapae, ila siku hizi wachawi wamehamia INSTAGRAM wazi kabisa, wanapoona kuna MAFANIKIO, HESHIMA ama MAPENZI kwako watatafuta kila sababu ya KUKUSHUSHA NA KUKURUDISHA CHINI MAKUSUDI kwa kutafuta na kutunga UONGO NA UZUSHI bila uoga wala haya ya kuona wanaongopa, lengo ni kukushusha mfanane, nataka niseme HATUTAFANANA!! Na nimeamua kuongea maana hata UONGO UKINYAMANZIWA SANA HUAMINIKA. baada ya 40 ya mwanangu kupita, kuna wapuuzi wenye chuki wamejitokeza na kuanza kusema mimi nimechangisha hela ya kufanya 40, hivi hii inaingia akilini!!?? kwanza kabisa huo sio utaratibu wangu na kwangu hilo ni swala la aibu sababu sherehe kama ya 40 ni HIARI sio kitu cha lazima, mwanzoni walisema nimechangiwa na wanakamati kutokana na group la rafiki zangu kwa mapenzi yao kujikusanya kuninunulia ZAWADI YA SURPRISE ambayo ni SETI YA DHAHABU waliyonikabidhi siku ya sherehe, tena sikujua hiko maana hata kwenye group walinitoa ili iwe surprise kwangu, na lengo la group mwanzo ilikuwa ni SARE ila baadae wakanitafutia zawadi kwa mapenzi yao kwangu na jinsi TUNAVYOISHI, ila hakuna mwanakamati wala mtu baki hata mmoja aliewahi kunipa hata SHILINGI MIA kama mchango kwangu au kunilipia chochote na SIJAWAHI KUOMBA sababu sio utaratibu wangu na kwenye lile NILIJITOSHELEZA, hivi mmeshindwa kutofautisha ZAWADI NA MICHANGO!?? Sababu tu ya kuona wenzangu wana mapenzi kiasi gani na mimi kuna wengine wanaumia tu na wanabadilisha mada kuwa nimechangiwa, kweli!?? Kama nina uwezo wa kumlaza mwanangu kwenye chumba cha Dola 1000 na upuuzi karibu milioni TANO kwa siku tulizokaa achilia mbali Ndege na vinginevyo kwa ajili ya birthday tena nje ya DSM na sikuchangisha leo iweje nichangishe!? Kama niliweza kufanya EVENT ya wanawake wenzangu BURE iliyonicost sio chini ya MILIONI NANE tena bila kusaidiwa na mtu YOYOTE kwa mapenzi tu na kutoa elimu na hawakulipa viingilio leo iweje nichangishe!?? Sio kila mtu ANAPENDA KUJISHAUA NA KUONGEA AMA KURINGISHIA, tusilazimishane tabia
Aisee Naomba usilete lile Gazet huku utatujazia server [emoji23] [emoji2] [emoji2]
 
Kiini cha ugomvi ni Zama kuufahamisha ulimwengu kuwa sherehe ya 40 ya mwanae iligharimu milioni 20.

Malalamiko ya nguo ni madogo kuliko majisifu ya gharama za sherehe na life style yake ya sasa hivi.
Kabisa maana wengine tulikua hatujui hili wala lile.... Wala yaho maugomv yao yaliyokua yanaendelea
 
Ila zama alichokua anategemea kukipata hajafanikiwa naona kaishiwa kuchambwa tu na walimwengu [emoji16][emoji16].
Watu wamemgeuka hana hamu, alijua watu wata support kila anachokifanya kumbee....
Wamemchoka maana zama nae ana yake mjini!!
 
Back
Top Bottom