Hili la kutokunyonyesha linaibua maswali kwa kweliHahahaha Zamaradi ana ngoma?! [emoji15]
Ndiyo yupo pale Sinza Makaburini, Sinza Madukani na Kinondoni.Frank knows yupo Dar pia?
Kwani uliwahi sikia mbuzi ana ngoma. Ngoma ni kwa ajili ya binadamu. Hutakiwi kumcheka mwenzio na uliwai kumpima? Insta kuna wachawi.Hahahaha Zamaradi ana ngoma?! [emoji15]
You're right aiseeKiini cha ugomvi ni Zama kuufahamisha ulimwengu kuwa sherehe ya 40 ya mwanae iligharimu milioni 20.
Malalamiko ya nguo ni madogo kuliko majisifu ya gharama za sherehe na life style yake ya sasa hivi.
40 ya 20 mil? Watu wana hela si mchezo. Kwa usawa huu wa Magu?
Unaendelea na Kilimo au upo hapa unasoma michango wa wachangiaji? Hebu acha kujikuta basiAcha sisi wengine tuendelee na kilimo,
Kiukweli alinikera alipomtumia Mange clip za Ruge anabembeleza huku analia, I had no doubt ni yeye alimtumia japo sikuamini jinsi anavyojipotray so innocentZama ana tabia ya unafiki na umbea pia ni mchonganishi mno. Kawaida mtu kama huyu si vizuri kukaa naye karibu au kumfanya kuwa rafiki. Alimfukuzisha Dina Marios kazi pale Clouds.
Dada Sky una akili umetambua haraka sanaKiini cha ugomvi ni Zama kuufahamisha ulimwengu kuwa sherehe ya 40 ya mwanae iligharimu milioni 20.
Malalamiko ya nguo ni madogo kuliko majisifu ya gharama za sherehe na life style yake ya sasa hivi.
Mange mbona huwa anaelewana na Zamaradi pia au amemsaliti shoga yake kwa ajili ya hamisa?Hamisa alimtumia Mange kurusha hayo instagtam. Mange ana akaunti anazoendeleza yale yake ya kawaida ya kuchamba watu.
Kwa ya kawaida anajifanya bizi sijui nini.. yupo kama kawa
So ndipo walipoanzia.. unajua mange akihusika huwa hakuna hayo
Ila wakabadili kwamba design ya hamisa kumbe waongo
Mengine watajiju
Ila mleta udaku huu uwe unaleta na screeshot za hayo au unayakopi.. sio kuandika yako na kusepa.. hata picha!!!
Hii mpya kwangu... Breaking newsKumbe Zama aliwagombanisha Ruge na Joe! Sasa wamepatana na wameshamjua mchawi wao π
Nimegundua Tununu mtu wa kujilipua sana.. Anajijua hana status/ brand kubwa kama hao wengine so hana cha ku loose akijilipua ... yeye anakuja na ma evidence tuYani,,huwa ananifanya nione aibu Mimi,,,yani ni kitu ambacho hakutarajia nahisi,, anaonaga ye ndo kazaa na watu dunia nzimaπππππ
Aisee Naomba usilete lile Gazet huku utatujazia server [emoji23] [emoji2] [emoji2]
Kwani hulijui fekero la dada lililoanza kufukunyua mambo?Mange anaingiaje humu kaah!watu mnaumwa mange disease
Ila kwa walivyowasikiana Zama ndio alimwambia mshono upi.
Nae anapenda huruma.. duh