Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Sipati picha Mange Kimambi alivyochanganyikiwa hajui amsaidie nani na wote mashoga zake
 
Zama ana tabia ya unafiki na umbea pia ni mchonganishi mno. Kawaida mtu kama huyu si vizuri kukaa naye karibu au kumfanya kuwa rafiki. Alimfukuzisha Dina Marios kazi pale Clouds.
Kiukweli alinikera alipomtumia Mange clip za Ruge anabembeleza huku analia, I had no doubt ni yeye alimtumia japo sikuamini jinsi anavyojipotray so innocent
 
Hamisa alimtumia Mange kurusha hayo instagtam. Mange ana akaunti anazoendeleza yale yake ya kawaida ya kuchamba watu.

Kwa ya kawaida anajifanya bizi sijui nini.. yupo kama kawa

So ndipo walipoanzia.. unajua mange akihusika huwa hakuna hayo

Ila wakabadili kwamba design ya hamisa kumbe waongo

Mengine watajiju

Ila mleta udaku huu uwe unaleta na screeshot za hayo au unayakopi.. sio kuandika yako na kusepa.. hata picha!!!
Mange mbona huwa anaelewana na Zamaradi pia au amemsaliti shoga yake kwa ajili ya hamisa?
 
Back
Top Bottom