Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Kiukweli alinikera alipomtumia Mange clip za Ruge anabembeleza huku analia, I had no doubt ni yeye alimtumia japo sikuamini jinsi anavyojipotray so innocent
Ile clip hata mimi ilinikera... Kubembelezwa kwnye mapenzi ni kawaida tu. Alifikiri yeye ndio wa kwanza kuliliwa na mwanaume?
Hivi watu wote tungekuwa tuna expose maongezi yetu ya faragha na wapenzi wetu (hata kama tumeachana), hii dunia ingekalika kweli? Pale haku act kiutu uzima.
Ndio maana hadi leo anatumia nguvu nyingi kuonyesha ana uwezo mkubwa wa kifedha ili kuonyesha hajawa affected kuachana na Ruge. Hakuna sababu ya kumdhalilisha/ kuweka biff na mzazi mwenzio. Hata watoto wakikua hawatapenda
 
Mange mbona huwa anaelewana na Zamaradi pia au amemsaliti shoga yake kwa ajili ya hamisa?

Hayo sijui
Yeye yupo huko anampa yake bado na fekelo akaunti zake

Tangu Mange ameleta haya anadai nyumba ya Zama kajengewa na maadui wa Ruge.. bado anamtisha kuwa alete docs za nyumba hiyo isiyo yake huku Zama amesema ni yake sijui yao(na mumewe)

Anasema next ni Mwamvita kumfichulia yake.
 
Mange bwana akitumia fekeroo utajua tu uandishi wake.mimi nilidhani ameshakuwa na ameshastaafu. Hawezi acha. Huyo hamisa na zama wote wanafika tu.hamisa kujifanya innocent sana yeye wa chinichini tu.na zama na yeye nilimshusha alivyovujisha audio ya kubembelezwa
 
child support anayopewa si mchezo.. mzazi mwenza ndie master mind wa clouds.. partner mkubwa na mmojawapo wa mmiliki wa clouds media , tatu mzuka, escape one, tht na mengineyo...
usawa wa magu kuna watu hauwahusu
Lkn huyu hawako naye tena. As hata mtt alozaliwa kazaliwa kwa baba mwingine.
Na ndio maana unaona kachangisha hadi mashostito
 
Ha ha haaaa

Wanaume aliozaa nao wanatakwa kumbe au?
Eeeh
Lijinga hili li dada, yaan halina akili.
Wanaume wenyewe sijui wepi hao anaowaongelea maana majay alishatemana nae kitambo. Dai ndio hataki ht kumtangaza na kumuweka wazi.
 
Ndio maana my wife to be anatokea Pemba hawa Wa Darasa la Saba/big headed nawaachia wanaume madomo zege.


Wanawake Wa Tanzania wanaojielewa ni either wameshakufa Kama vile Mke Wa Marehemu Kingunge au wameshazeeka kama Mama maria nyerere, Tunu pinda, Anna mkapa, Fatuma karume na mama zetu.


Wengine wote waliosalia ni Pasua kichwa. Hawafai kwa kuoa bali wanafaa kwa matumizi halali ya Instagram na show za kibabe za usiku na kuacha. Huwa najiuliza mwanaume unaanzaje kuoa mwanamke kama Hamisa.


Ngoja nijiandae zangu kuoga maji yaliyotiwa hiriki na mdalasini na mwanamke wangu Wa kipemba. Nyie endeleeni na wanawake wenye bachelor degree of Instagram
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…