Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,559
- 3,745
Linatumia jina gani?Kwani hulijui fekero la dada lililoanza kufukunyua mambo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Linatumia jina gani?Kwani hulijui fekero la dada lililoanza kufukunyua mambo?
Mtoto wa uzee ndo anakuwaje?Jaman na mimi nimejifungua mtoto wa uzee naombeni basi mchango japo siku ya 40 mle pilau...
Ile clip hata mimi ilinikera... Kubembelezwa kwnye mapenzi ni kawaida tu. Alifikiri yeye ndio wa kwanza kuliliwa na mwanaume?Kiukweli alinikera alipomtumia Mange clip za Ruge anabembeleza huku analia, I had no doubt ni yeye alimtumia japo sikuamini jinsi anavyojipotray so innocent
Mange mbona huwa anaelewana na Zamaradi pia au amemsaliti shoga yake kwa ajili ya hamisa?
Fekero hio imemwaga gazeti zaidi ya zamaLinatumia jina gani?
Aitheeee
hata Sina ni vile vile ...sema watu hawajui maisha yake mitaani.... kamtesa sana mdada wa watu anaishi mbezi!Zama mnaafiki kuliko wote wadada wa mjini
Mtoto wa uzee ndo anakuwaje?
Lkn huyu hawako naye tena. As hata mtt alozaliwa kazaliwa kwa baba mwingine.child support anayopewa si mchezo.. mzazi mwenza ndie master mind wa clouds.. partner mkubwa na mmojawapo wa mmiliki wa clouds media , tatu mzuka, escape one, tht na mengineyo...
usawa wa magu kuna watu hauwahusu
Sio mange yule nyie hata kidogo!!original east mi nakataaa!!!Kwani hulijui fekero la dada lililoanza kufukunyua mambo?
Lijinga hili li dada, yaan halina akili.Ha ha haaaa
Wanaume aliozaa nao wanatakwa kumbe au?
Eeeh
Ujinga mtupu, angezaa na mengi je?Yaan yeye anaringia kuzaa na wamiliki wa redio
Kweli wananyonyeshaUrongo
Una mayai na kizazi kizuri mpaka uzeeni bado unazaa. HongeraUmampata at old age. Huyu anakufanyia rejuvenation
Unashauriwa usinyonyeshe ili usimuambukize mtotoUkweli uko wapi?
Isijekuwa wewe ndo unatumia?
Ingawa kutumia hakuna Ubaya!
Kimboka TV[emoji125][emoji125][emoji125]Hio channel ipo kingamuzi gani?