Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema


huyu Mrs Victim na afe tuone... masogange na ngongingo yake kishasahaulika sembuse yeye mwizi wa mabwana za watu
 
Mvulana wa miaka 28, hivi utaona umefanyiwa nini zaidi ya kuona maji ya hiki na mdalasini ndio mapenzi?

Eti wa degree unawaachia madomo zege.....pathetic!!! Hii inaonyesha jinsi usivyo jiamini.

Mwanaume wa kweli huoa mke ampendaye na kisha hujitahd kumake the best wife out of her. Na sio kudhania wa darasa la saba ndio the best and wa degree ndio poorest
 
Wanawake wa pemba wanavyopenda kuzaa na kuwekwa ndani kama makochi!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…