Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Nimeona hayo majibizano yao insta tangu jana jioni, kila mtu na lake ila sijaona kama ilitakiwa iwe big deal kumuahidi mtu kwamba utashona kwake halafu ukaishia kwa mwengine. mbona wengi tunafanya hilo jambo na ukikutana na yule fundi kwenye shughuli umevaa hiyo nguo unakausha tu mnasalimiana yanapita. designs zenyewe wengi wanakopi kwa wengine
 
Wema nae kila ishu yupo ...
Hivi hajioneagi huruma?
Wema ni victim wa circumstances nyingi sana. To me ule upole wake na kupenda mno kuwafurahisha watu Kila mtu kwake yy anamkaribisha Adi chumban under the name of friendship afu mwisho wa siku anakuwa rafiki nyoka.

She isn't wise in choosing friends and knowing who to trust. I wish siku nimpe akili mbovu kama yangu.

Huwez ukawa rafiki wa Kila mtu duniani no way. Halaf kwao unakuwa real unajiachia kana kwamba ni ndg zako. Waswahili kusema "mtakatifu nyingi nasaba kupata mingi misiba"
 
Back
Top Bottom