Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,512
- 23,925
Milly ana chuki sana kwa Wema.Na wema kaingizwa kwamba yy ndo aliemshauri shoga ake Zama asishone kwa Mobeto
Sijaona hata mantiki ya kumuingiza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Milly ana chuki sana kwa Wema.Na wema kaingizwa kwamba yy ndo aliemshauri shoga ake Zama asishone kwa Mobeto
Ni kichwapanzi akaingia insta live ndiyo kuumbuka na kufuta account mpaka leo.
Okaay ni kipazasauti....Ya kichwa panzi ilienda wapi nayo ilikua inamchamba sana Mange.
Temptitosouly ( sijui ndo hivo)Kuna mtu aliyedhan ile fekero maarufu kwa kutukana nimeishau jina itakua ya tachel temu!!?
mhh nyie wadada wa Dar mna data za watu hatarii
Okaay ni kipazasauti....Ya kichwa panzi ilienda wapi nayo ilikua inamchamba sana Mange.
Natamani aje mtu atokee amuweze rachel anapenda kupiga biti sana watu huko insta.Temptitosouly ( sijui ndo hivo)
Kaanza na Tem yaan jina la mshua wake
Wema nae kila ishu yupo ...Na wema kaingizwa kwamba yy ndo aliemshauri shoga ake Zama asishone kwa Mobeto
Temptitosouly ( sijui ndo hivo)
Kaanza na Tem yaan jina la mshua wake
KabisaNi yeye ila anajitahidi sana kujificha nyuma ya mkenya,ila haiwezekani,mkenya hawez andika kiswahili cha hivyo
Lile lidada limevurugwa na huwa halina mvutoo . ...yaan kidomodomo tuuNatamani aje mtu atokee amuweze rachel anapenda kupiga biti sana watu huko insta.
Majizo hata hayupo kwenye list ya WAMILIKI wa SHARE za EFM.Ndio hapo sasa
Na sio wamiliki 100%
Umesikia ya kaka wa Don Ivan kufa....eti zari kafanya yake[emoji15]Ule mshono mzuri sanaa sema hana mwili wa kuvalia ule mshono
ngoma
Kwani uliwahi sikia mbuzi ana ngoma. Ngoma ni kwa ajili ya binadamu. Hutakiwi kumcheka mwenzio na uliwai kumpima? Insta kuna wachawi.
Wema ni victim wa circumstances nyingi sana. To me ule upole wake na kupenda mno kuwafurahisha watu Kila mtu kwake yy anamkaribisha Adi chumban under the name of friendship afu mwisho wa siku anakuwa rafiki nyoka.Wema nae kila ishu yupo ...
Hivi hajioneagi huruma?
Mwali mjini sihami si kwa udaku huu. Hebu niendelee kupata habar miyeMajizo hata hayupo kwenye list ya WAMILIKI wa SHARE za EFM.
ILIWEKWA HAPA!!
Tuhame ili tuchekwe,weeeeh!!.Mwali mjini sihami si kwa udaku huu. Hebu niendelee kupata habar miye
Jamaaaaani JAMANI.Umesikia ya kaka wa Don Ivan kufa....eti zari kafanya yake[emoji15]
Kabisa mie Dodoma nitaisoma tuu kwenye Atlas wallah!!!Tuhame ili tuchekwe,weeeeh!!.
Tukomaeee Mwaliii