Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Hayo sijui
Yeye yupo huko anampa yake bado na fekelo akaunti zake

Tangu Mange ameleta haya anadai nyumba ya Zama kajengewa na maadui wa Ruge.. bado anamtisha kuwa alete docs za nyumba hiyo isiyo yake huku Zama amesema ni yake sijui yao(na mumewe)

Anasema next ni Mwamvita kumfichulia yake.
Aiseee
 
Million 20 mchezo. Kama kawaida yao ya kuongeza manamba mengi waonekane expensive kumbe ushuzi mtupu child support zinawasogeza
Milioni 20 kufanyia sherehe
hem ngoja kwanza!!

ALIFANYIA NYUMBANI- HAKUNA GHARAMA YA UKUMBI!
ALIPIKA CHAKULA KWA CATERING YAKE.
Hiyo milioni 20 kajumlisha na sendo za Shabaan au?
 
Wema ni victim wa circumstances nyingi sana. To me ule upole wake na kupenda mno kuwafurahisha watu Kila mtu kwake yy anamkaribisha Adi chumban under the name of friendship afu mwisho wa siku anakuwa rafiki nyoka.

She isn't wise in choosing friends and knowing who to trust. I wish siku nimpe akili mbovu kama yangu.

Huwez ukawa rafiki wa Kila mtu duniani no way. Halaf kwao unakuwa real unajiachia kana kwamba ni ndg zako. Waswahili kusema "mtakatifu nyingi nasaba kupata mingi misiba"
Ukimuonyesha unampenda na ukamnyenyeka tu basi anakupa funguo ya moyo wake bila kujua huo unyeyekevu anaoupata anaulopaje. Anatumika na watu wengi sana na hata ukimwambia huyu mbaya huwa hajali
 
Milioni 20 kufanyia sherehe
hem ngoja kwanza!!

ALIFANYIA NYUMBANI- HAKUNA GHARAMA YA UKUMBI!
ALIPIKA CHAKULA KWA CATERING YAKE.
Hiyo milioni 20 kajumlisha na sendo za Shabaan au?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Eti Sendo za Shaban. Labda na mashati ya Ruge
 
Back
Top Bottom