Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

zile timu mbili pinzani yaani team wema na team zarithebosslady zimeonekana kupambana kwa maneno na kuwafanya le madam na mwenyewe zari ze boss lady kutupiana maneno..
 
zile timu mbili pinzani yaani team wema na team zarithebosslady zimeonekana kupambana kwa maneno na kuwafanya le madam na mwenyewe zari ze boss lady kutupiana maneno..
2c1bd4ec5c39f434a2f91cd047086dec.jpg

e8b753df5962c2ed203fe42aca6f8454.jpg
 
Naona huko team wema wanalitumia "fake" kwa kuliwekea swaga... Wamempost bigi braza half wamemtag zari aone fake yao ilivyo handsome ... Uwiiii
 
Katika hili nimemdharau sana Zari.
Wema ameshamuachia huyo Diamond,anamfuata tena na vijembe vya nini?
Anaonekana ana stress sana baada ya kusikia Wema ana mimba.
Na sikutegemea Zari yule anayejidai mzungu kufanya uswahili wa namna hii.
Ni wazi Wema anamuumiza sana.
Wait Ile video imeunganishwa kwa wema replies ni nani kaiweka? Zari amemchokoza nini?
 
Yaan zari hajiamini na siku akimwagwaaaa ataiona insta chungu mbwa huyo,,ndio maana anazunguka kama tiara ,mashavu yashachuma kunde bado Tu kujifanya mtoto na weupe wake WA dekio mxcieewww
Hahahahaa nacheka kama mazuri,kanikera sana leo.
Halafu huyu ndio watu wanamsifia kuwa anajielewa!
 
sasa kama team wema walianza si apambane na hao team wema?mara ngapi team zari wanamnanga wema ;lakini sijawahi ona wema anawajibu kwa kurusha vijembe kwa zari?
wanajuana wenyewe hao kuna namna wametibuana, waendelee tu tupate vya kuandika.
 
Ni wanawake wanaojielewa tu watakaoielewa hii comment yako.
Binafsi nimekuelewa sanaaaa.
Nifah, nakushukuru kwa kunielewa, huyu zari mama wa watoto 4, unaamka na kuwaza EX wa HAWARA yako tena si kuwaza tu kumchokonoa ili kufurahisha wapambe? Naona aibu kama mie ndio first born wa zari, jinga sana.
 
Back
Top Bottom