mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
vyote kasoro jinsia.ebu tuwekee picha yako na ya baba yako.tuone kama mnafananaKafanana nae nini kope au nywele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vyote kasoro jinsia.ebu tuwekee picha yako na ya baba yako.tuone kama mnafananaKafanana nae nini kope au nywele
vyote kasoro jinsia.ebu tuwekee picha yako na ya baba yako.tuone kama mnafanana
Mbona hadai DNA za watoto wa Mr Blue,TID,charles Baba au CK?why Domo?DNA imemtouch ahahhah mtoto hafanani hata robo zari muhurumie diamond jamani
Kwenye kugawa mbona wote wanagawa,alivyokua akija dar kwa kina katunzi alikuja kufanya whiteparty au,kuingia leba sio tatizo leba hata mbwa anaingia anajifungua akwendreeeeeeeeee alete DNA mbona utrasound walituonyesha Dna ina ugumu ganiii helooo halualaaaa
Double standards!na wewe uwekewe kama nan?Mimi baba yangu kopiraitiiii na mimi yaan utafikiri mama yangu ana photocopy machine huko chini upoooo,ukiwa kama nani nikuwekee we elewa tu
UNAVYOITAKA YA MWENZIOOMimi baba yangu kopiraitiiii na mimi yaan utafikiri mama yangu ana photocopy machine huko chini upoooo,ukiwa kama nani nikuwekee we elewa tu
Double standards!na wewe uwekewe kama nan?
Duuu upenzi mbaya!Wema gan ambaye ametulia yupo kimya?bint Sepetu au mwingine?
wewe ndo imekuuma kufuatilia mambo yasiyokuhsu.DNA ya mwenzio wewe inakuhusu nini?fanya yatakayo kusaidiaInakuuma eed utafikiri imeombwa yakoo
Ukisoma comment zako za nyuma na huo mstar wa mwisho kama ulikua haujui maana ya unafiki basi ndio ulioufanya hapa!yaani kama Wema ni mtoto yuko vile akifika umri wa huyo Bibi Zari sijui atakuaje!!!!Eti wewe haumpendi Wema!!DuuuUngejua hata wema simpendi ile mbayaaa na nilikua nampenda zari balaaa,lakin wote wana timu,ingekua zari hana timu ya kumtukana wema hapo sawaa lakin wote wanazo ,so nashangaa mnavyotaka kumuona mashavu yakichuma kunde yupo sawa wakati wote wale waleeeee
Tofauti yao mmoja amezungusha papuchi Tanzania mwingine kaisambaza africa na papuchi yake inaonekana dunia nzima....hapo kunammoja kamzidi mwenzie.
Umeona eeh?Nimekupendaje sasa?Menopause inampeleka puta bibi.... Ana mda wa kufwatilia mpaka mbwa wa wema anaitwa nani? Nahitaji kujua maana ya bosslady .... Zari ana level gani jaman? Alijaribu kuwa na level enzi za ivan ila sasa hiv hana lolote levels kina mrs Mengi hawana time na vijembe mxiewwww levels my foot
wewe ndo imekuuma kufuatilia mambo yasiyokuhsu.DNA ya mwenzio wewe inakuhusu nini?fanya yatakayo kusaidia
Ukisoma comment zako za nyuma na huo mstar wa mwisho kama ulikua haujui maana ya unafiki basi ndio ulioufanya hapa!yaani kama Wema ni mtoto yuko vile akifika umri wa huyo Bibi Zari sijui atakuaje!!!!Eti wewe haumpendi Wema!!Duuu
Hili ndio wengi hawalijui,wanadhani sisi ni team Wema wakati siyo.Ungejua hata wema simpendi ile mbayaaa na nilikua nampenda zari balaaa,lakin wote wana timu,ingekua zari hana timu ya kumtukana wema hapo sawaa lakin wote wanazo ,so nashangaa mnavyotaka kumuona mashavu yakichuma kunde yupo sawa wakati wote wale waleeeee