Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Ila Wema Nae Kazidi Kuwa Fake Hadi Lile " Jambio " Lake Ni Fake! Zari Nae Ni Bomba
 
hivi we baba unapenda wangapi humu aghrrrr naomba talaka japo najua mchepuko hauna talaka
Hao wengine napenda avatar zao lakini wewe nakupenda kwa jinsi ulivo. Hasa hako kamwanya hako ndo kananipagawisha mi hoi taaban!
 
Habari ya uongo hii hakuna aliye fungia hilo tamasha! kwa sababu zipi? sidhani kama kunaweza kuwa na sababu zilizo za msingi na haiwezekani!
 
Hao wengine napenda avatar zao lakini wewe nakupenda kwa jinsi ulivo. Hasa hako kamwanya hako ndo kananipagawisha mi hoi taaban!
 

Attachments

  • 12079545_780285498783592_2939407029926687649_n.jpg
    25 KB · Views: 26
  • IMG-20150710-WA0038.jpg
    20.3 KB · Views: 38
ni
fah ni kweli wema ana mimba.nitafurahi kama vile nimemtungua mimi
 
Lulu ana akili mnoooo yani akili za lulu angekua nazo wema uwiiiiii angekua mtu mwingine kabisa
Sanaaaa....sasa hivi kanasoma sijui kitu gani,baada ya miaka kadhaa tunamsikia yupo BOT.Watu watatoa macho hapa.Halafu mkemia mkuu alisema 49% wanalelewa na mababa ambao sio wao.Kabla hawajauliza DNA ya tiffa,wawaambie mama zao nao walete DNA kama hawajalia
 
Wewe nae ndio nini kutuwekea picha za majini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…