Kwendraaa mwajuma ndala ndefu huwezi kuwa mjukuu wa boss lady labda mjukuu wa mama wema "Mnyaturu live"
Yaani nashangaaga aisee....hii full time job wanaipata wapi?Magufuli afute haraka hvyo vibali vya wakuja ili watu wapate kazi.Maana looohaku mie wanipitie mbali
utaambiwa ni mtanzaniaYaani nashangaaga aisee....hii full time job wanaipata wapi?Magufuli afute haraka hvyo vibali vya wakuja ili watu wapate kazi.Maana loooh
Hata Wema zamani alikuwa anjielewa kama tu Zari alivyokuwa akijielewa hapo zamani za kale. Kitaalamu kujielewa huwa kuna acha pale tu binti anapojihusisha kimapenzi na Dangote Platnumz babyHahahahaa nacheka kama mazuri,kanikera sana leo.
Halafu huyu ndio watu wanamsifia kuwa anajielewa!
Hahahaaa comments sasa mi hoi..hua napata picha za wapondaji sijui komwe,michirizi mara masikio hua nawaza sijui hua ni malaika yaaani ni wazuuuuuriiiii na hawana kasoro nawaza tu kimya kimya....#hujafa hujaumbika ndugu# aliyeumba hakosei yamkini hata ukipewa udongo uunde mwana seserewa udongo huwezi......
Jiwe gizani atakae sema yalaaah!!limempata
hapo kwenye bold hapo napingana na wewe. Zari sio mswahili, Zari ni mshamba anayejificha kwenye kivuli utajiri. Yaan pamoja na pesa zote alizonazo, nchi zote alizotembea ameshindwa kuondoa ushamba wa asili ya kiganda uliomganda kwenye fikra zake. SHWAINAsante Madame Victoire ,nilitaka kuhoji hivyohivyo.
Iweje achokozwe na team kisha amshambulie Wema?
Kama sio stress na uswahili uliomjaa ni nini?
Aaaaahaaaaa nimecheka mpakaHahahaaa comments sasa mi hoi..hua napata picha za wapondaji sijui komwe,michirizi mara masikio hua nawaza sijui hua ni malaika yaaani ni wazuuuuuriiiii na hawana kasoro nawaza tu kimya kimya....#hujafa hujaumbika ndugu# aliyeumba hakosei yamkini hata ukipewa udongo uunde mwana seserewa udongo huwezi......
Jiwe gizani atakae sema yalaaah!!limempata
i think kuna kitu kinaendelea chini ya carpet haiwezekan just from no where hii kitu itokeeKatika hili nimemdharau sana Zari.
Wema ameshamuachia huyo Diamond,anamfuata tena na vijembe vya nini?
Anaonekana ana stress sana baada ya kusikia Wema ana mimba.
Na sikutegemea Zari yule anayejidai mzungu kufanya uswahili wa namna hii.
Ni wazi Wema anamuumiza sana.
Hahahaaa comments sasa mi hoi..hua napata picha za wapondaji sijui komwe,michirizi mara masikio hua nawaza sijui hua ni malaika yaaani ni wazuuuuuriiiii na hawana kasoro nawaza tu kimya kimya....#hujafa hujaumbika ndugu# aliyeumba hakosei yamkini hata ukipewa udongo uunde mwana seserewa udongo huwezi......
Jiwe gizani atakae sema yalaaah!!limempata
ahahaah unanivunja mbavu, huyo teja jumbe sijui yupo wapi siku hiz khaa wema kiboko hadi mateja yumoHivi wema alishapewa talaka yake n mumewe jumbe teja.....kma bdo inabidi team yke wadai hiyo talaka mana alishindwa funga ndoa 2014 ikabidi afake kua kaolewa....mimi n uhakika madam sio mgumba anatakiwa apate bwana mfungwa aliekaa jela miaka 10 mwenye mbegu zenye kutu lazma mimba inase
Ndio yaleyale tu.hapo kwenye bold hapo napingana na wewe. Zari sio mswahili, Zari ni mshamba anayejificha kwenye kivuli utajiri. Yaan pamoja na pesa zote alizonazo, nchi zote alizotembea ameshindwa kuondoa ushamba wa asili ya kiganda uliomganda kwenye fikra zake. SHWAIN
hahaha ni katika kufanya tu exaggerationNdio yaleyale tu.
hivi akiweka hiyo DNA hamtokuja kusema amepiga deal na doctor mpimaji ili atoe majibu fake?au hizi DNA haziwezi kufekiwa kama maisha ya bi Sepetu?bado nna doubt na kitachotokea/kuongelewa hapo mbele baada ya kuekewa hiyo DNA mnayoitaka.Kama uchi wake unaonekana muda wote ukitaka uuone dunia nzima DNA inamshinda niniiii,washajitahidi kulinganisha picha lakin wapiii Zari kashikwa pabayaaaaaaaa
si unajua tena ambavyo ni rahisi kumuondoa mtu tandale kuliko kuondoa utandale ndani ya mtu,Hahahahaaa wewe nae umeleta mpya aisee.