Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Ulishanivuruga aiseee, hata ungetaka kuniona Wallah ungeniona.
Ila kama ndio ulimaanisha hivi basi khery, nadhani wamekusoma.
Poa Nifah hope cku moja ukija Arusha tutaonana ila sio kwa sababu ya kuchunguzana sura bali kufahamiana.
 
Tatizo Wema huko chini hakuna taarifa...! Itakuwa shida sana kwa kila mwanaume anayekutana naye
 
Hahahaaa comments sasa mi hoi..hua napata picha za wapondaji sijui komwe,michirizi mara masikio hua nawaza sijui hua ni malaika yaaani ni wazuuuuuriiiii na hawana kasoro nawaza tu kimya kimya....#hujafa hujaumbika ndugu# aliyeumba hakosei yamkini hata ukipewa udongo uunde mwana seserewa udongo huwezi......

Jiwe gizani atakae sema yalaaah!!limempata
 
Hahahahaa nacheka kama mazuri,kanikera sana leo.
Halafu huyu ndio watu wanamsifia kuwa anajielewa!
Hata Wema zamani alikuwa anjielewa kama tu Zari alivyokuwa akijielewa hapo zamani za kale. Kitaalamu kujielewa huwa kuna acha pale tu binti anapojihusisha kimapenzi na Dangote Platnumz baby
 
Hahahaaa comments sasa mi hoi..hua napata picha za wapondaji sijui komwe,michirizi mara masikio hua nawaza sijui hua ni malaika yaaani ni wazuuuuuriiiii na hawana kasoro nawaza tu kimya kimya....#hujafa hujaumbika ndugu# aliyeumba hakosei yamkini hata ukipewa udongo uunde mwana seserewa udongo huwezi......

Jiwe gizani atakae sema yalaaah!!limempata

Ahhahaha hakuna alie malaika zari kasema binti michirizi ye ni malaikaa,kusemwa lazima katika dunia hio na kukosolewa wali sio mpyaaa ,japo komwe na sikio ni lake kwelii kwani uongo,na wema michirizi miguu fito ni yake kwelii,ndio binadamu tulivyo hakuna mkamilifu so kusemana,kukosoana ,kupondana hakutaishaa,habaree ndio hiyoo
 
Asante Madame Victoire ,nilitaka kuhoji hivyohivyo.
Iweje achokozwe na team kisha amshambulie Wema?
Kama sio stress na uswahili uliomjaa ni nini?
hapo kwenye bold hapo napingana na wewe. Zari sio mswahili, Zari ni mshamba anayejificha kwenye kivuli utajiri. Yaan pamoja na pesa zote alizonazo, nchi zote alizotembea ameshindwa kuondoa ushamba wa asili ya kiganda uliomganda kwenye fikra zake. SHWAIN
 
Hahahaaa comments sasa mi hoi..hua napata picha za wapondaji sijui komwe,michirizi mara masikio hua nawaza sijui hua ni malaika yaaani ni wazuuuuuriiiii na hawana kasoro nawaza tu kimya kimya....#hujafa hujaumbika ndugu# aliyeumba hakosei yamkini hata ukipewa udongo uunde mwana seserewa udongo huwezi......

Jiwe gizani atakae sema yalaaah!!limempata
Aaaaahaaaaa nimecheka mpaka
 
Katika hili nimemdharau sana Zari.
Wema ameshamuachia huyo Diamond,anamfuata tena na vijembe vya nini?
Anaonekana ana stress sana baada ya kusikia Wema ana mimba.
Na sikutegemea Zari yule anayejidai mzungu kufanya uswahili wa namna hii.
Ni wazi Wema anamuumiza sana.
i think kuna kitu kinaendelea chini ya carpet haiwezekan just from no where hii kitu itokee
 
Hahahaaa comments sasa mi hoi..hua napata picha za wapondaji sijui komwe,michirizi mara masikio hua nawaza sijui hua ni malaika yaaani ni wazuuuuuriiiii na hawana kasoro nawaza tu kimya kimya....#hujafa hujaumbika ndugu# aliyeumba hakosei yamkini hata ukipewa udongo uunde mwana seserewa udongo huwezi......

Jiwe gizani atakae sema yalaaah!!limempata

wacha tu watu kama hao wana sura zile ambazo akifika clinic ya watoto wanaochomwa sindano za chanjo hunyamaza gafla nakutulia hata achomwe ya ulimi kimya maana anahisi atamezwa[emoji13] [emoji13]
 
Hivi wema alishapewa talaka yake n mumewe jumbe teja.....kma bdo inabidi team yke wadai hiyo talaka mana alishindwa funga ndoa 2014 ikabidi afake kua kaolewa....mimi n uhakika madam sio mgumba anatakiwa apate bwana mfungwa aliekaa jela miaka 10 mwenye mbegu zenye kutu lazma mimba inase
ahahaah unanivunja mbavu, huyo teja jumbe sijui yupo wapi siku hiz khaa wema kiboko hadi mateja yumo
 
hapo kwenye bold hapo napingana na wewe. Zari sio mswahili, Zari ni mshamba anayejificha kwenye kivuli utajiri. Yaan pamoja na pesa zote alizonazo, nchi zote alizotembea ameshindwa kuondoa ushamba wa asili ya kiganda uliomganda kwenye fikra zake. SHWAIN
Ndio yaleyale tu.
 
Hata Wema zamani alikuwa anjielewa kama tu Zari alivyokuwa akijielewa hapo zamani za kale. Kitaalamu kujielewa huwa kuna acha pale tu binti anapojihusisha kimapenzi na Dangote Platnumz baby
Hahahahaaa wewe nae umeleta mpya aisee.
 
Kama uchi wake unaonekana muda wote ukitaka uuone dunia nzima DNA inamshinda niniiii,washajitahidi kulinganisha picha lakin wapiii Zari kashikwa pabayaaaaaaaa
hivi akiweka hiyo DNA hamtokuja kusema amepiga deal na doctor mpimaji ili atoe majibu fake?au hizi DNA haziwezi kufekiwa kama maisha ya bi Sepetu?bado nna doubt na kitachotokea/kuongelewa hapo mbele baada ya kuekewa hiyo DNA mnayoitaka.
 
WEMA ANAZEEKA SASA
halaf nifah utakua team wema ulivyoandika tu malelezo yako ya juu pale nkagundua umeandika ukiwa na malice aforethought
ila fresh tu wache wampe shigongo POSHO ZA KUJIKIMU BAADA YA KUKOSA UBUNGE PALE HOME SENGEREMA
 
Back
Top Bottom