Leo nimempenda Wema bure,Zari mswahili sana.Teh teh..Jibu la wema nimelipenda
zile timu mbili pinzani yaani team wema na team zarithebosslady zimeonekana kupambana kwa maneno na kuwafanya le madam na mwenyewe zari ze boss lady kutupiana maneno..
hapana ni team wema ndo waliomuanza Zari ngoja nitafute ile post nikuscreenshotie.Zari ndo kaanza
Wait Ile video imeunganishwa kwa wema replies ni nani kaiweka? Zari amemchokoza nini?Katika hili nimemdharau sana Zari.
Wema ameshamuachia huyo Diamond,anamfuata tena na vijembe vya nini?
Anaonekana ana stress sana baada ya kusikia Wema ana mimba.
Na sikutegemea Zari yule anayejidai mzungu kufanya uswahili wa namna hii.
Ni wazi Wema anamuumiza sana.
Leo nimempenda Wema bure,Zari mswahili sana.
Toa umbea wakoNi wanawake wanaojielewa tu watakaoielewa hii comment yako.
Binafsi nimekuelewa sanaaaa.
sasa kama team wema walianza si apambane na hao team wema?mara ngapi team zari wanamnanga wema ;lakini sijawahi ona wema anawajibu kwa kurusha vijembe kwa zari?hapana ni team wema ndo waliomuanza Zari ngoja nitafute ile post nikuscreenshotie.
Hahahahaa nacheka kama mazuri,kanikera sana leo.Yaan zari hajiamini na siku akimwagwaaaa ataiona insta chungu mbwa huyo,,ndio maana anazunguka kama tiara ,mashavu yashachuma kunde bado Tu kujifanya mtoto na weupe wake WA dekio mxcieewww
wanajuana wenyewe hao kuna namna wametibuana, waendelee tu tupate vya kuandika.sasa kama team wema walianza si apambane na hao team wema?mara ngapi team zari wanamnanga wema ;lakini sijawahi ona wema anawajibu kwa kurusha vijembe kwa zari?
Mi mwenyewe najua zuri huwa halianzishi bila kuchokozwahapana ni team wema ndo waliomuanza Zari ngoja nitafute ile post nikuscreenshotie.
Nifah, nakushukuru kwa kunielewa, huyu zari mama wa watoto 4, unaamka na kuwaza EX wa HAWARA yako tena si kuwaza tu kumchokonoa ili kufurahisha wapambe? Naona aibu kama mie ndio first born wa zari, jinga sana.Ni wanawake wanaojielewa tu watakaoielewa hii comment yako.
Binafsi nimekuelewa sanaaaa.
Kwani ushawah kumpenda Zari?Leo nimempenda Wema bure,Zari mswahili sana.
Eti anamuuliza Esma umeme umelipia?
Akimaanisha Wema na lile sakata la Tanesco.
Huyo Esma nae atakuwa mpumbavu kama ataungana na Zari kumtusi Wema aliyemuunganishia Petit man aliyemtoa gundu la ndoa.
bahati mbaya ile post wamefuta nilisahau kuscreenshot wanamsema zari na mwanae eti akaleteDNA kama alivyoonesha ultrasoundMi mwenyewe najua zuri huwa halianzishi bila kuchokozwa