Ha ha ha mmmmhhhDah wadau ngapi ngapi. Mi naona kama Wema kapigwa K.O.
Aibu nyingine za kujitakia hizi..
Yule ni bikra hili nalo LA kuanzisha mjadala?Kwahyo bikra yuleee....watu kujitoa ufahamu
Kama bikra basi angoje kuolewa ndo azae....lakini kuzaa isionekane ni dhambi kubwa kuliko kuzini.Yule ni bikra hili nalo LA kuanzisha mjadala?
Anasemaje??naona na ladynaa anauliza maswali inst
Aiseeeeeeee kazi kweli kwelianasema kipi bora kuwa na meno ambayo yamekaa bila formula ovyo ovyo na una kizaz au kuwa na meno yanampangilio mzur na hauna kizaz hiyo imetokeaa baada ya team madam kusema kwann bossylady kila akipga picha anakuwa hatabasamu
Asante sana, eti Zari katumia ustaarabu...... Kwa ustaarabu gani alionao?Tuletee huo ushahidi tukuamini, manake kwa stage aliyofikia zari saivi kama kungekuwa na kitu cha ivyo angeshascreen shot na kuitupia kwenye public
Niffar hy anaktafta ugomviSasa naanza kuelewa kwa nini watanzania hatuendelei... Yani jitu zima linapoteza muda wake kupost such a crazy thread ambayo sio productive hata kidogo
Ha ha ha kimataifa ametisha....anapeperusha vyema bendera ya taifa.Kali zaidi ni mtoto wa kike/kiume(ushoga) kutokwa povu kisa wema au zari wakati wote ni malaya wa mjini tu mmoja kitaifa mwingine kimataifa
Shangaa weweAsante sana, eti Zari katumia ustaarabu...... Kwa ustaarabu gani alionao?
Kungekuwa na ushahidi wowote wa Wema kumsumbua Mondi ungashawekwa hadharani zamani.
Watu wanaosaka mtoto hata umwambie umng'oe meno yote anakubali hili apate mtoto.anasema kipi bora kuwa na meno ambayo yamekaa bila formula ovyo ovyo na una kizaz au kuwa na meno yanampangilio mzur na hauna kizaz hiyo imetokeaa baada ya team madam kusema kwann bossylady kila akipga picha anakuwa hatabasamu
Nilikuwa namkubali zari ila cjui cku hizi kapatwa na wazimu gani, anaboa boa tu..kawa mswazi grade oneAsante sana, eti Zari katumia ustaarabu...... Kwa ustaarabu gani alionao?
Kungekuwa na ushahidi wowote wa Wema kumsumbua Mondi ungashawekwa hadharani zamani.
Atasema nini huyo nae mdananda tu.....chefuu.Anasemaje??
cjui bossy kweli meno yake yamekaa vibayaWatu wanaosaka mtoto hata umwambie umng'oe meno yote anakubali hili apate mtoto.