Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Dah wadau ngapi ngapi. Mi naona kama Wema kapigwa K.O.
Aibu nyingine za kujitakia hizi..
 
anasema kipi bora kuwa na meno ambayo yamekaa bila formula ovyo ovyo na una kizaz au kuwa na meno yanampangilio mzur na hauna kizaz hiyo imetokeaa baada ya team madam kusema kwann bossylady kila akipga picha anakuwa hatabasamu
 
Aiseeeeeeee kazi kweli kweli
 
Tuletee huo ushahidi tukuamini, manake kwa stage aliyofikia zari saivi kama kungekuwa na kitu cha ivyo angeshascreen shot na kuitupia kwenye public
Asante sana, eti Zari katumia ustaarabu...... Kwa ustaarabu gani alionao?
Kungekuwa na ushahidi wowote wa Wema kumsumbua Mondi ungashawekwa hadharani zamani.
 
Sasa naanza kuelewa kwa nini watanzania hatuendelei... Yani jitu zima linapoteza muda wake kupost such a crazy thread ambayo sio productive hata kidogo
Niffar hy anaktafta ugomvi
 
Kali zaidi ni mtoto wa kike/kiume(ushoga) kutokwa povu kisa wema au zari wakati wote ni malaya wa mjini tu mmoja kitaifa mwingine kimataifa
 
Ha ha ha kimataifa ametisha....anapeperusha vyema bendera ya taifa.
 
anasema kipi bora kuwa na meno ambayo yamekaa bila formula ovyo ovyo na una kizaz au kuwa na meno yanampangilio mzur na hauna kizaz hiyo imetokeaa baada ya team madam kusema kwann bossylady kila akipga picha anakuwa hatabasamu
Watu wanaosaka mtoto hata umwambie umng'oe meno yote anakubali hili apate mtoto.
 
Asante sana, eti Zari katumia ustaarabu...... Kwa ustaarabu gani alionao?
Kungekuwa na ushahidi wowote wa Wema kumsumbua Mondi ungashawekwa hadharani zamani.
Nilikuwa namkubali zari ila cjui cku hizi kapatwa na wazimu gani, anaboa boa tu..kawa mswazi grade one
 
Back
Top Bottom