Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Tufungue tu duka la spea za boda boda na bajaji lipstick hazilipi ha ha ha no wateja pamoja na kufanya sale punguzo kubwa kabisaaaa bado hawanunui watejaaa watejaaa qmanyokoooo in remmy's voice

Mxiuuuu kwa lipstick gani? Ukipaka kama umelamba juice cola hazina ubora hata kidogo bora tupake velay tyuuu
 
Hawa machangudoa wanaharibu vijana wetu! What the hell is this?! Ningekuwa waziri wa habari na utamaduni ningekula nao sahani moja hawa. Pumbavu zao!
 
Mjitu umejibanza sehemu na cmu ya mchina, mbembedo zimejaa uso mzima halafu mnaponda fulani anasura mbaya,kabla ya kukashfu tupiamo tupicha twako tuwili tutatu halafu tuone.
hao wanaoponda wenzao wana sura mbaya wenywe ndio wabovu kupindukia...
 
Ha ha ha Wema

Ha!!!!

Huyo hana uwezo wa kiakili wa kumudu masomo ya shule za kuingia darasani na kumsikiliza mwalimu na kuweza kuelewa alichofundishwa.

Hivi ushawahi kuona jinsi anavyoandika? Unaweza kuishia kuona aibu kwa niaba yake.

Huko sijui Twitter au Instagram nahisi kuna mtu huwa anamwandikia hayo anayoyaandikaga.

Yeye kama yeye ni majanga.
 
Sasa anakuwaga na guts gani za kusema wenzie vbaya?Hata level certificate ni shida au ka diploma kakuzugia?Ipo shida aisee
 
Shule hakuna form four alitaga, 0 division
Ingekua kipindi hiki tungesema ame pass kwa division five ha ha ha
Loooooh!!!!Malaysia aliendaga kusoma nini?nilicheka juzi hapa nilikuwa ktk graduu ya mdogo wangu chuo cha diplomasia alikuwa anafanya postgraduate ya economic diplomacy....Rio amegraduate ngazi ya cheti tena kaisoma miaka zaidi ya 2 Larkin anajiita mwanadiplomasia ha ha ha
 
Wadada wa mjini wana mambo makubwa. Nimebaki natoa macho tuu. Maskini Zari hyo video yake jamani aaaghhhh watoto wake! 🙁😡😡😡😕
 
Huko malyasia sijui alisona nini labda alienda kusomea mapishi..... Rio huyu shoga kidawa?
 
Sasa anakuwaga na guts gani za kusema wenzie vbaya?Hata level certificate ni shida au ka diploma kakuzugia?Ipo shida aisee

Kwani kuna ugumu gani kumsema mtu vibaya ukiwa umejificha sehemu? Teknolojia imezalisha watu wenye ujasiri wa ajabu.

Kuhusu elimu ya darasani, huyo binti hamna kitu. Lakini hilo si kosa lake maana huenda karithi toka kwa mamake.

Hivi kwa kumwangalia tu yule mamake, unadhani ana uwezo wa kiakili wa kumudu masomo ya darasani kweli?

Haya hapa chini ndo wanayoyaweza:

Halafu hapa kaachia bonge la tusi...sijui 'hanithi malowani ibilisi wa biisi'......sasa kama huyo ndo mama mtu, mwanae unategemea awe tofauti naye kweli? Mtoto wa pundamilia hawezi kuwa na mabaka kama ya chui.

Wadada wa mjini wana mambo makubwa. Nimebaki natoa macho tuu. Maskini Zari hyo video yake jamani aaaghhhh watoto wake! 🙁😡😡😡😕
Ya kawaida hayo kwa mastaa watu wanajirekodi kabisa wanazisambaza wenyewe sembuse yeye ajali kazini
 
"Wanyaturu laivu" 😀😀
 
Ya kawaida hayo kwa mastaa watu wanajirekodi kabisa wanazisambaza wenyewe sembuse yeye ajali kazini

Sasa yeye ya ajali kazini ndo mbaya dia...maana hakutaka iwe kwa Public. Hawa mateam watu ndo wanachochea haya maugomvi.
 
Kwani kuna ugumu gani kumsema mtu vibaya ukiwa umejificha sehemu? Teknolojia imezalisha watu wenye ujasiri wa ajabu.

Kuhusu elimu ya darasani, huyo binti hamna kitu. Lakini hilo si kosa lake maana huenda karithi toka kwa mamake.

Hivi kwa kumwangalia tu yule mamake, unadhani ana uwezo wa kiakili wa kumudu masomo ya darasani kweli?

Haya hapa chini ndo wanayoyaweza:

Halafu hapa kaachia bonge la tusi...sijui 'hanithi malowani ibilisi wa biisi'......sasa kama huyo ndo mama mtu, mwanae unategemea awe tofauti naye kweli? Mtoto wa pundamilia hawezi kuwa na mabaka kama ya chui.

Ha ha ha ha huyo kwa mitusi ndo mwenyewe anaonekana aisee.
Aiseee shikamoo teknolojia ni hatari yaani unakuta mtu anatamba kumbe kalalia kumbi la mnazi.Lakin kutwa kukebehi,kutusi, mwingine ambaye hata sio level yko.Hii ni balaa kabisa
 
Back
Top Bottom