Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Ha ha ha sasa mambo ya ndoa kwa asiye na ndoa ni miujiza....mambo hayo ya ndoa wanayajua kina Mamndenyi.
Hivi ndoa ni kitu cha ajabu sana eeh? Halafu hizi ni fake ID tu dada,don't act like unanijua sana.
 
Uso wake atauweka south Africa ha ha ha
Hahahaa, kwakweli maana bongo na ug patachimbika waug wambea mpaka kuijua familia ya katunzi
Ila zari angekuwa anapendeza akiwa kimya,anavyojibu anakuwa sawa na wema..
 
Hana boutique wala ushuzi wa sonara vyote vilikua baada ya kuachana na Ivan kama kuna mwenye ushahidi ivyo vitu vipo alete hapa...kazi kubwa alokua nayo ilikua kuja Tanzania kulala na katunzi mume wamtu na kulipwa sasa amepata kibarua cha kuchamba Instagram...nyumba hana tena narudia tena hana hawana tofauti na wema yeye anastiriwa na kulea watoto tu...ile nyumba ingekua anaimiliki angeshampeleka mtoto wa tandale hata kushinda kama sio kulala kabisa lakini subutu Ivan atavunja chelewa za mtoto wa tandale wanabaki kwenda kupigana mikasi mahotelini
 
Hivi ndoa ni kitu cha ajabu sana eeh? Halafu hizi ni fake ID tu dada,don't act like unanijua sana.
Nikujue sana kwa kipi?aliyesema anayekujua nini nani?kama unajua hizi ni fake ID mbona unaniita dada ikiwa hata jinsia yangu huijui?Sinaga muda wa kuargue ryt......hii JF tunapita tu tukiwa free,we have a lot of things to accomplish.
 
Hahahaa, kwakweli maana bongo na ug patachimbika waug wambea mpaka kuijua familia ya katunzi
Ila zari angekuwa anapendeza akiwa kimya,anavyojibu anakuwa sawa na wema..
Ha ha ha hata mimi natamani asijibu....sema ile timu fulu chokochoko.
 
Mahaba kwa Wema wanamfanya azidi kudorora badala ya kufanya maendeleo, kila siku anajisikia mtoto kwa kuwa anaitwa mtoto, but hao hao ndio watakuja mcheka watakapo muita mzee lofa, wakati huo Wema hata kumbuka lini alikuwa kijana.
 
Hivi hili suala la ndoa si mlikuwa mnakataa?
Leo kisa mali ndio unaongelea ndoa?
Hahahaaaa mwanamke yule Zari kashindikana,alishatumbukia kwenye maji kubatizwa kisa mipesa ya Ivan,sijui Domo alishamsilimsha bibie?
Ha ha ha we si umeisema ndoa ya asili sasa mbona tena waikana as if hujaongea
Kawaida hiyo mwanamke kumfata mwanaume akipata mkristu anabatizwa akipata muislamu anaslimu as long as wamekubaliana no probleme
 
Nikujue sana kwa kipi?aliyesema anayekujua nini nani?kama unajua hizi ni fake ID mbona unaniita dada ikiwa hata jinsia yangu huijui?Sinaga muda wa kuargue ryt......hii JF tunapita tu tukiwa free,we have a lot of things to accomplish.
Mimi nilikuwa na argue na Evelyn,akawa anaelezea mambo ya ndoa,ghafla ukarukia ndoa anazijua Mamndenyi,unajuaje kama mimi sijui?
Jinsia yako siijui na wala sitaki kuijua.
Nimekuita dada sababu ya ID yako,kama wewe ni dume na unajiita miss ni poa tu maana hayanihusu.
 
Hahahaa, kwakweli maana bongo na ug patachimbika waug wambea mpaka kuijua familia ya katunzi
Ila zari angekuwa anapendeza akiwa kimya,anavyojibu anakuwa sawa na wema..
Hata mimi napenda akae kimya sema ndo hivo kuna muda mtu uvumilivu unakushinda ukizingatia nae ni binadamu
 
Nikujue sana kwa kipi?aliyesema anayekujua nini nani?kama unajua hizi ni fake ID mbona unaniita dada ikiwa hata jinsia yangu huijui?Sinaga muda wa kuargue ryt......hii JF tunapita tu tukiwa free,we have a lot of things to accomplish.
mmmh,huku mnakoelekea sasa hii vita kati ya wema na zari,naona itabadili muelekeo sasa!acheni bana,endeleeni tu na ajenda ya huu uzi ka kawaida.
 
Hahahahaaa halooooo SIERA umenipa raha moyoni,eti atavunja nini?
 
Ha ha ha huna chakuongea.....am free kuchangia anything I want,nilimquote Evelyn n not you.Pumba tu
 
Bora wangechomekea kitu kinachoendana na jukwaa hili ningewaona wamaana sasa mambo ya elimu si yana jukwaa lake au we unawaona wajanja ???
mkuu mi mwenywe nimebaki kushangaa tu kama anavoshangaa mleta uzi uko aliko!cwezi waona wajanja aise,ujanja ni kuleta kitu sahihi pahala sahihi,lakini hawa hawajafanya ivo...huwezi kuwaita wajanja
 
mmmh,huku mnakoelekea sasa hii vita kati ya wema na zari,naona itabadili muelekeo sasa!acheni bana,endeleeni tu na ajenda ya huu uzi ka kawaida.
Ha ha ha huku tunakuja mara moja Mona coz kushapotezaga mvuto siku nyingi....but kuna watu wanaona ndo kazi.
 
Ha ha ha huna chakuongea.....am free kuchangia anything I want,nilimquote Evelyn n not you.Pumba tu
Ulimquote Evenly aliyekuwa ana argue na mimi.
Sina cha kuongea kama nini kwa mfano?
Well na mimi niko free kuchangia/kusema chochote na nimeshasema,kwahiyo unataka nini?
 
mmmh,huku mnakoelekea sasa hii vita kati ya wema na zari,naona itabadili muelekeo sasa!acheni bana,endeleeni tu na ajenda ya huu uzi ka kawaida.
Tulia kijana,enjoy the show..
Hapa chaji tu iko low na umeme hamna nakasirikaje?
Hii ndio raha ya JF bwana.
 
Ulimquote Evenly aliyekuwa ana argue na mimi.
Sina cha kuongea kama nini kwa mfano?
Well na mimi niko free kuchangia/kusema chochote na nimeshasema,kwahiyo unataka nini?
Ha ha ha seems upo desperate.....I can't deal with u.Upo too low.
 
Mimi niliwaambia hawa mbuzi, kama Zari ana pesa na magari ni ya kwake alete hata gari moja bongo na si kubanana kwenye kile ki BMW...
 
Achana na wapiga deki kwa Diamond.. Zari kama ana pesa na magari ni yake alete moja tu bongo.. Kwani hapo Uganda ni mbali??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…