Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Napitwaje sasa?Hii ndio raha ya kuishi mujini (umbea).
Kijijini kulima tu
Dooh nakosaje umbea huu...
Ila nifah zari mbona kama amecharuka huko Insta lazima kuna tatizo mahali..alafu mimi naogopa jamaniii siku akiachana na domo ataweka wapi uso wake huyu mama,maana anajiona kafika...mimi nampenda ila ananiangusha
 
Zari nae mswahili sana

Sijui.anatafuta kiki mavi....yaani nilidhani wema anapenda kiki ila hajamfikia zari hata kidogo. Halafu mtu mzima hebu alee watoto. Mama wa watoto 4 unapata wapi muda wa kukimbizana na visichana insta?
Wazazi wa siku hizi mkoje?
Wanawake wa siku hizi kungwi wenu nani????

Wote wamama tu as far as I no mmoja huwa analea mimba zake mwingine ndo hvo mayai cjui anakaangia chips tehtehh
 
Unajua sector ya elimu imekua kama kisamvu cha makaburini.. Kila mtu anafanya atakavyo... Maana kile kisamvu hakina mwenyewe... Kwakweli wazazi na walezi tushtuke.
Inasikitisha Sana hii sekta kutumika kisiasa Sana huku wazazi wakishindwa kudai elimu bora na kuridhika na maneno elimu bure pekee.
 
Dooh nakosaje umbea huu...
Ila nifah zari mbona kama amecharuka huko Insta lazima kuna tatizo mahali..alafu mimi naogopa jamaniii siku akiachana na domo ataweka wapi uso wake huyu mama,maana anajiona kafika...mimi nampenda ila ananiangusha
Uso wake atauweka south Africa ha ha ha
 
marafiki.jpg

Huu si uzushi. Ni ukweli. Kama huamini angalia hii video hapa chini.

Anasema kabisa "ningekuwa na kisu ningemchoma mtu".

Hapa anatukana matusi ya nguoni kabisa.....

Haki ya nani Wema na mama yake ni mental cases.

Hahahahhhh pole mkuu km ulichelewa kulijua hil mapema
 
Dooh nakosaje umbea huu...
Ila nifah zari mbona kama amecharuka huko Insta lazima kuna tatizo mahali..alafu mimi naogopa jamaniii siku akiachana na domo ataweka wapi uso wake huyu mama,maana anajiona kafika...mimi nampenda ila ananiangusha
Hata mimi nilikuwa nampenda sana,ila kwa huu upuuzi anaoufanya sasa umemshushia hadhi.
Nilikuwa namuona mwamamke classic kumbe hamna kitu kabisa.
Bora nibaki na Klyn tu ndio mdada wangu anayeelewa jinsi gani ya kubehave kama boss lady.
 
hivi kule kijijini boss kashindwa kusaidia akapiga lipu nyumba ?nilicheka alienda kutoa msaada toilet pepa nyingi balaaa heeee Kuna mtu akauliza umeona hao watoto wanapenda kujisaidia sanaaa,?amshukuru Ivan kamsitiri,na Daimond alivyo bahili ataishia kupewa keki kwenye birthday,umeona kinglaw kaweka picha ya tifa
Shoga nyumba yenyewe ni mpya ile,naona walikuwa wanaishi kule jikoni!
Hahahahaaa
 
Zari kabla ya filters....heheheee.
Ooh Zari mzuri,mzuri my foot
Hiki kizee ndio kinashindana na wasichana Instagram!

Is being 34 ni uzee???? Haya wenzetu mna miaka mingap au 12???? Na mnahis hamtafika huko kwny 34 na kuendelea au??? Will u b happy being called wazee at a very young age lk that??? Mmmhh m nahs umbea nshafel kwa kwel ndo maana hta insta cingii bt anyweys asanten kwa taarifa cc nifah
 
Nashangazwa tu na jinsi watu mnavyomchukia huyo wema kiasi hiki. Mpaka kumtukana matusi ya nguoni... why so much hate???
Huyo zari mwenyewe sioni huo u classy alionao.
Let her (wema) be jamani.
Umeona eeh?Hata mimi nilikuwa namchukia wema sana kiukweli lakini sasa nimeona ni upumbavu maana huyo niliyekuwa namuona classic hamna lolote.
 
Fake life ✔
Fake car ✔
Fake house ✔
Fake mahips ✔
Fake tears ✔
Fake utoto ✔
Fake business ✔
Fake boyfriends ✔
Fake harusi ✔
Fake mimba ✔✔
Mtaje mtu huyu.
Mkuu utakua na kaubia na team moja hapa
 
ZARI, WEMA, HUDDAH, VERA SIDIKA ni malaya waliokubuhu East Africa... Hawa hawajatofautia chochote..

Huyo Zari akiwa kwenye umri wa hawa akina Wema, Huddah nae alikuwa kama wao tu... Ila huyu Zari anatakiwa aache ujinga na nadhani hata huyo bwanake Diamond anachokifanya hawara yake..
Ndio maana nakupendaga kaka yangu,umeufunga mjadala.
(Japo unaendelea...heheheeee)
Zari,Zari wakati hamna lolote.
 
Walioana wakachuma wote wameachana kila mtu ana vyake, sasa mali za zari pekee unazotaka labda tuweke braa zake
Sawa walioana ila Ivan alikuwa na mapesa yake.
Zari ni gold digger anayeishi mjini kupitia a/c za watoto.
Kama ana pesa zile message alizowatumia Rich Gang kuomba pesa ni za nini?
Mwanamke kila akiona mwanaume mwenye pesa tu anajimbisha.
Though bado swali langu halijajibiwa la mali za Zari peke yake tofauti na za wanaume zake,mmezidi kumsema Wema.
Tuonesheni mali za Zari sasa.
 
Huu sasa ni ushamba, ina maana ukiachana na mtu ndio mnakuwa maadui hadi msiwasiliane?
Mnakataa nini kuwa Zari sio mswahili?
Ex wa bwanako kamtext bwanako unapost instagram kwa mafumbo?
Huu ni zaidi ya uswahili.
Kilichopo Zari hajiamini, angekuwa anajiamini asingeendekeza mambo ya kumfuatilia Wema.
Boss ladies wako busy na maisha yao bwana.
Zari ni mswahili, tena mswahili hasa sema watu wanapumbazika na english anayotumia kuzani ni mzungu, hana tofauti na mandala ndefu wa uswahili kwetu...tofauti ni lugha 2 wanazotumia
 
Is being 34 ni uzee???? Haya wenzetu mna miaka mingap au 12???? Na mnahis hamtafika huko kwny 34 na kuendelea au??? Will u b happy being called wazee at a very young age lk that??? Mmmhh m nahs umbea nshafel kwa kwel ndo maana hta insta cingii bt anyweys asanten kwa taarifa cc nifah
Sasa kama huyo Zari tu mwenye 34 (though tushaanza mwaka mwingine tayari) umewahi kumuona
akijipost kama alivyo hapo?
Anajijua ni mzee ndio maana anahangaika na filters....
Kiufupi HAJIKUBALI.
Why not? Najikubali na siwezi kujisikia vibaya kuitwa hivyo....ujinga ni kuukataa ukweli,uko hapo?
Haya asante yako nimeipokea.
 
Sawa walioana ila Ivan alikuwa na mapesa yake.
Zari ni gold digger anayeishi mjini kupitia a/c za watoto.
Kama ana pesa zile message alizowatumia Rich Gang kuomba pesa ni za nini?
Mwanamke kila akiona mwanaume mwenye pesa tu anajimbisha.
Though bado swali langu halijajibiwa la mali za Zari peke yake tofauti na za wanaume zake,mmezidi kumsema Wema.
Tuonesheni mali za Zari sasa.
Sasa kwakua wewe unajua za Ivan ni zipi ungetaja make mi najua zari ana magari yake, ana nyumba, ana zari's jewellery, na maduka ya nguo mali anayo share na Ivan ni hicho chuo chao, watu wakioana ni mali zao wakiachana wakagawana hapo kila mtu anapata chake
Okay okay wema magari yake anahongwa, sasa ile murano yake tuiite ya diamond? Sio ya wema? Au Ile BMW tuiite ya mwami sio ya wema?
 
Back
Top Bottom