msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,880
hahahahahah pamoja mkuu,usipanicHahaha taratibu unamjibu mume wa mtu hivyo ohoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahahah pamoja mkuu,usipanicHahaha taratibu unamjibu mume wa mtu hivyo ohoo
Dooh nakosaje umbea huu...Napitwaje sasa?Hii ndio raha ya kuishi mujini (umbea).
Kijijini kulima tu
Hahaaahhh nyie watu mna maneno ya kubully mtu kabisaaa uwiiiiZari lazma kuchokozwa, afu bora weupe wake unaeleweka sio wa sweet heart ngozi kama batiki mxyuuuu
Zari nae mswahili sana
Sijui.anatafuta kiki mavi....yaani nilidhani wema anapenda kiki ila hajamfikia zari hata kidogo. Halafu mtu mzima hebu alee watoto. Mama wa watoto 4 unapata wapi muda wa kukimbizana na visichana insta?
Wazazi wa siku hizi mkoje?
Wanawake wa siku hizi kungwi wenu nani????
Inasikitisha Sana hii sekta kutumika kisiasa Sana huku wazazi wakishindwa kudai elimu bora na kuridhika na maneno elimu bure pekee.Unajua sector ya elimu imekua kama kisamvu cha makaburini.. Kila mtu anafanya atakavyo... Maana kile kisamvu hakina mwenyewe... Kwakweli wazazi na walezi tushtuke.
Uso wake atauweka south Africa ha ha haDooh nakosaje umbea huu...
Ila nifah zari mbona kama amecharuka huko Insta lazima kuna tatizo mahali..alafu mimi naogopa jamaniii siku akiachana na domo ataweka wapi uso wake huyu mama,maana anajiona kafika...mimi nampenda ila ananiangusha
![]()
Huu si uzushi. Ni ukweli. Kama huamini angalia hii video hapa chini.
Anasema kabisa "ningekuwa na kisu ningemchoma mtu".
Hapa anatukana matusi ya nguoni kabisa.....
Haki ya nani Wema na mama yake ni mental cases.
Hata mimi nilikuwa nampenda sana,ila kwa huu upuuzi anaoufanya sasa umemshushia hadhi.Dooh nakosaje umbea huu...
Ila nifah zari mbona kama amecharuka huko Insta lazima kuna tatizo mahali..alafu mimi naogopa jamaniii siku akiachana na domo ataweka wapi uso wake huyu mama,maana anajiona kafika...mimi nampenda ila ananiangusha
Shoga nyumba yenyewe ni mpya ile,naona walikuwa wanaishi kule jikoni!hivi kule kijijini boss kashindwa kusaidia akapiga lipu nyumba ?nilicheka alienda kutoa msaada toilet pepa nyingi balaaa heeee Kuna mtu akauliza umeona hao watoto wanapenda kujisaidia sanaaa,?amshukuru Ivan kamsitiri,na Daimond alivyo bahili ataishia kupewa keki kwenye birthday,umeona kinglaw kaweka picha ya tifa
Zari kabla ya filters....heheheee.
Ooh Zari mzuri,mzuri my foot
Hiki kizee ndio kinashindana na wasichana Instagram!
Umeona eeh?Hata mimi nilikuwa namchukia wema sana kiukweli lakini sasa nimeona ni upumbavu maana huyo niliyekuwa namuona classic hamna lolote.Nashangazwa tu na jinsi watu mnavyomchukia huyo wema kiasi hiki. Mpaka kumtukana matusi ya nguoni... why so much hate???
Huyo zari mwenyewe sioni huo u classy alionao.
Let her (wema) be jamani.
Mkuu utakua na kaubia na team moja hapaFake life ✔
Fake car ✔
Fake house ✔
Fake mahips ✔
Fake tears ✔
Fake utoto ✔
Fake business ✔
Fake boyfriends ✔
Fake harusi ✔
Fake mimba ✔✔
Mtaje mtu huyu.
Ndio maana nakupendaga kaka yangu,umeufunga mjadala.ZARI, WEMA, HUDDAH, VERA SIDIKA ni malaya waliokubuhu East Africa... Hawa hawajatofautia chochote..
Huyo Zari akiwa kwenye umri wa hawa akina Wema, Huddah nae alikuwa kama wao tu... Ila huyu Zari anatakiwa aache ujinga na nadhani hata huyo bwanake Diamond anachokifanya hawara yake..
Sawa walioana ila Ivan alikuwa na mapesa yake.Walioana wakachuma wote wameachana kila mtu ana vyake, sasa mali za zari pekee unazotaka labda tuweke braa zake
Zari ni mswahili, tena mswahili hasa sema watu wanapumbazika na english anayotumia kuzani ni mzungu, hana tofauti na mandala ndefu wa uswahili kwetu...tofauti ni lugha 2 wanazotumiaHuu sasa ni ushamba, ina maana ukiachana na mtu ndio mnakuwa maadui hadi msiwasiliane?
Mnakataa nini kuwa Zari sio mswahili?
Ex wa bwanako kamtext bwanako unapost instagram kwa mafumbo?
Huu ni zaidi ya uswahili.
Kilichopo Zari hajiamini, angekuwa anajiamini asingeendekeza mambo ya kumfuatilia Wema.
Boss ladies wako busy na maisha yao bwana.
Sasa kama huyo Zari tu mwenye 34 (though tushaanza mwaka mwingine tayari) umewahi kumuonaIs being 34 ni uzee???? Haya wenzetu mna miaka mingap au 12???? Na mnahis hamtafika huko kwny 34 na kuendelea au??? Will u b happy being called wazee at a very young age lk that??? Mmmhh m nahs umbea nshafel kwa kwel ndo maana hta insta cingii bt anyweys asanten kwa taarifa cc nifah
Sasa kwakua wewe unajua za Ivan ni zipi ungetaja make mi najua zari ana magari yake, ana nyumba, ana zari's jewellery, na maduka ya nguo mali anayo share na Ivan ni hicho chuo chao, watu wakioana ni mali zao wakiachana wakagawana hapo kila mtu anapata chakeSawa walioana ila Ivan alikuwa na mapesa yake.
Zari ni gold digger anayeishi mjini kupitia a/c za watoto.
Kama ana pesa zile message alizowatumia Rich Gang kuomba pesa ni za nini?
Mwanamke kila akiona mwanaume mwenye pesa tu anajimbisha.
Though bado swali langu halijajibiwa la mali za Zari peke yake tofauti na za wanaume zake,mmezidi kumsema Wema.
Tuonesheni mali za Zari sasa.