Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Alikua anagombea uwenyekiti wa mtaa aaaahaaaaa nifah umeniacha hoi ...
Hahahahaaa huna habari eeh?
Huyu mwanamke anajidai mjanja sana,eti anajidai kunisema kwa mafumbo....
Nikamjibu kistaarabu akataka kunipanda kichwani nami nikamnyea kabisa.
Habari ndio hiyo mamito.
 
Ha ha ha eti hujui kukoje.....na wakati muhanga pia.JF sehemu yakujifariji kwa watu wa dizaini yako.

Npo likizo that's y naonekana JF....hongera lakini kwa kuendelea kupoteza muda hapa kila siku.
 
Hahahahaaa huna habari eeh?
Huyu mwanamke anajidai mjanja sana,eti anajidai kunisema kwa mafumbo....
Nikamjibu kistaarabu akataka kunipanda kichwani nami nikamnyea kabisa.
Habari ndio hiyo mamito.
Aaahaaaa wakaangalie mavuzi ya Bibi yao huko wakati akijichomeka miti.....
 
Wema naye mwanamke!!!??? Hajitambui, hajiheshimu, anaishi kimaigizo. Nani atamudu kuishi na mwanamke sampuli hii!!??? Amuache mama la mama the bos lady ajenge family, majungu ya danguroni akafanyiane na mpuuzi mwenzake (Kajala)
 
Kuliko huu ujinga anaoufanya aweke hayo ambayo unasema anayaficha, hivi kuweka picha ya mwanamke mwenzako kabeba mbwa na wewe mtoto ni ustaarabu? Anaweza poteza watoto wote kwa vifo atabaki kusema alizaaga na mwenzake atasema sijawahi kuzaa lakini wote mikono shavuni. Zari amejiaibisha sana kama mko karibu nae mshaurini wema hana cha kuonea haya dunia hii, zari ana aibisha watoto wake wavulana wale kuona uchi wa mama yao si vizuri, angenyamaza watu wangesahau sasa kila siku video inaletwa hadharani kwa sababu ya ujinga wake.
 
Hahahahaaa nimecheka sana Wallah!
Umeyaanza mwenyewe halafu unajidai 'upo too low'!!!!
Kafie mbali huko,unajidai nawe uko busy,busy na huo uenyekiti wa mtaa au?
Hivi mmeanza kulipwa posho?

nifah nakujua ulivyombishii khaaa Hua hukubali kushindwaaa aisee mi mpaka Hua nakuacha,mi nipo instanakufwa mbavy
 
Nifah na miss strong mmenikumbusha utotoni mwisho wa michezo ya kibaba na mama, kombolela, rede ni kupigana ha ha ha ha ha
Huu ni ubuyu tu take it easy wema na zari hawatujui tulikua tunapoteza muda tu siku ziende haya haya stop it......

siku nyingi sijaona ligi khaaa,nachekaa hapa ukijumlisha na insta aiseeee,
au ile zamani timu moja ikifungwa lazima mgayanena kugombanaa hhhhaaa utoto rahaa
 
Ha ha ha huku tunakuja mara moja Mona coz kushapotezaga mvuto siku nyingi....but kuna watu wanaona ndo kazi.
haya basi na yaishage jamani,muendelee kutupa ubuyu wa macelebrities wetu!mi cpendi kuona mnarushiana vijembe wanajf!
 
Hata Zari ni bibi michirizi, au kisa yake aliifanyia surgery?
Nilikuwa nashangaa mama wa4 hana mchirizi hata mmoja?
Looooh!!!
Mhuu surgery inaondoa michuruzi? Hooow??
Mamangu sijawah kumwona na michirizi na tupo 9.
Labda ile ya sirini
 
Nifah, nakushukuru kwa kunielewa, huyu zari mama wa watoto 4, unaamka na kuwaza EX wa HAWARA yako tena si kuwaza tu kumchokonoa ili kufurahisha wapambe? Naona aibu kama mie ndio first born wa zari, jinga sana.
sio wa nne ana binti first born kamficha. wanasema ubuyu uko njiani
 
jamani mlisha ambiwa na mkemia mkuu DNA 49% ya walio pimwa si watoto halali kila mtu mamake ange ambiwa amlete DNA ya mtoto ake mjini hapatoshi hapa ooh we tulia tu na baba wakambo mlez maisha ya endelee na huyo mjamzito ngoja tusubirie mimba haijifichi aisee
 
sio wa nne ana binti first born kamficha. wanasema ubuyu uko njiani
Hayo ni maneno tu ya wajinga kumchafua, hawezi kuwa na mtoto amfiche Ivan asijue, na Ivan angejua angesha lisema zamani kwa kuwa yeye ndie alie achia hiyo video ya Zari. Haya ni maneno ya watu wanao ona kuzaa ni jambo la aibu na ndio wenye akili kama za Wema kutoa mimba eti usizae baado mdogo, ujinga mtupu.
 
Are you guys serious????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…