Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Suala la uswahili acheni upuuzi wenu, watanzania wore ni waswahili, eti 'UZUNGU', sheeenzi uzungu ndio nin??? Vimbwanga wanavyofanya wenzetu huko, wasanii wetu wangekuwa wanafanya kila mtu angekuwa anamiliki kampuni yake ya magazeti ya udaku maana story zingekuwa nyingi sana afu tunawapamba..
Uswahili Ni Huo wakumuongea mwenzako kimafumbo X wa Mumeo.Uswahili wa Zari uko wapi sasa?
Watu wanarushiana vijembe. Jambo ambalo ni la kawaida kabisa katika maisha ya wanadamu.
Sasa kwa nini mtu kurusha vijembe ndo aonekane 'mswahili'?
Zari is too class,? Hahahahahahaha hivi uclass gani alionao ushawahi ona snap chat zake asilimia 70 anamchonoa wema...... Zari hana uclass wowote ila wabongo tulivyo washamba tunamwona ndio class yaan wema anamnyima raha zari akiondoka bongi roho juu anapiga tu vjembeInaonekana hufahamu kinachoendelea mtaani!! Zari is too classy kuanzisha cheap beefs na wema..
Asante sana mkuu,hivi umejuaje?Acha unafiki mkuu sijaona sehem pameandikwa wema Mzungu Acha kujitekenya hapo anaongelewa Zari kua Mswahili.Zari kua Mswahili haimaanishi Wema kawa Mzungu.
Jifunze kusoma na kuelewa Acha kukurupuka.
Hilo halina tatizo mamito,tatizo nitakupata wapi?Halafu Nifah kukiwa na ubuyu nishtue mapema bana......
ahahah huu umbea umenikunaje? ila mama tee nae mbaya kwa vijembe, ila mama ubaya zari sio level zake kwa kweli, yeye ashindane na akina aunty ezekielNapitwaje sasa?Hii ndio raha ya kuishi mujini (umbea).
Kijijini kulima tu
Hapo chacha tena kasema mtoto akifika umri wa kusoma atampeleka kwanza aunty Mmmmmh mi si wezi hio biasharauliona wapi wake wenza wakapatana?maana wale wote wanampenda mose
Uswahili Ni Huo wakumuongea mwenzako kimafumbo X wa Mumeo.
Issue ya Umeme inamuhusu nini kwani asifanye yake?? Huo ndo Uswahili na sio kujibizana kufatilia Maisha ya Mtu na kumpiga Vijembe Huo ndo Uswahili kama unao unao Uswahili fanya yako.
Kwakweli Zari ni level nyingine ye avaane na wenzie wanacheza wote vigodoroahahah huu umbea umenikunaje? ila mama tee nae mbaya kwa vijembe, ila mama ubaya zari sio level zake kwa kweli, yeye ashindane na akina aunty ezekiel
Uswahili haumaanishi unapatikana tu Tanzania hata huko kwa wenzetu Uswahili Upo.Hivi ushawahi kutembelea mablogu ya huko majuu uone mambo yao ya udaku na mabifu yao?
Hakuna tofauti yoyote ile na haya wanayofanya akina Wema na Zari.
Sasa kwa nini yanayofanywa na Zari yaonekane eti ndo ya 'kiswahili'?
Ni ujinga na ujuha tu mtu kudhani hivyo.
Umeona eeeh?Mwanzo tulikuwa tunamtetea Zari kuwa ni mwanamke classic ila kwa hili hapana aisee.wote wanapenda kiki ,tunamteteaga zari Tu wote wale wale sasa zari kazidi
Sasa wewe papito ulivokuja jukwaa la celebrities ulitegemea kukuta habari gani kwa mfano?Hivi we mamito hauna kazi ya kufanya? Jiulize kidogo, Wema na Zari wanatuhusu nini watanzania?
Ngoja nisipite bure ,Wema ana mimba ???Katika hili nimemdharau sana Zari.
Wema ameshamuachia huyo Diamond,anamfuata tena na vijembe vya nini?
Anaonekana ana stress sana baada ya kusikia Wema ana mimba.
Na sikutegemea Zari yule anayejidai mzungu kufanya uswahili wa namna hii.
Ni wazi Wema anamuumiza sana.