Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Suala la uswahili acheni upuuzi wenu, watanzania wore ni waswahili, eti 'UZUNGU', sheeenzi uzungu ndio nin??? Vimbwanga wanavyofanya wenzetu huko, wasanii wetu wangekuwa wanafanya kila mtu angekuwa anamiliki kampuni yake ya magazeti ya udaku maana story zingekuwa nyingi sana afu tunawapamba..
Hivi ushawahi kutembelea mablogu ya huko majuu uone mambo yao ya udaku na mabifu yao?
Hakuna tofauti yoyote ile na haya wanayofanya akina Wema na Zari.
Sasa kwa nini yanayofanywa na Zari yaonekane eti ndo ya 'kiswahili'?
Ni ujinga na ujuha tu mtu kudhani hivyo.