Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

ni

fah ni kweli wema ana mimba.nitafurahi kama vile nimemtungua mimi
Hahahahaaa watu mna mambo?
Hata mimi nitafurahi kama ana mimba kweli maana ni jambo jema.
 
Wewe nae ndio nini kutuwekea picha za majini?
wala sio jini hebu angalia vizuri nani huyu😀😀😀😀😀😀
 
Attachments

  • wemast.jpg
    wemast.jpg
    37.5 KB · Views: 62
Hahahahaaa watu mna mambo?
Hata mimi nitafurahi kama ana mimba kweli maana ni jambo jema.
kale kadada kana nyota sana ila hilo wamemzushia mno.nampenda wema na namtakia heri naomba mungu iwe mimba kweli
 
Mjitu umejibanza sehemu na cmu ya mchina, mbembedo zimejaa uso mzima halafu mnaponda fulani anasura mbaya,kabla ya kukashfu tupiamo tupicha twako tuwili tutatu halafu tuone.
 
Ila mm napataga shida na hawa cjui team nani cjui team nani,yaani wapo kutukana tuuuuuuuuu cjui hawanaga cha kufanya,wana matusi ya ajabu kwel aiseee
 
Mjitu umejibanza sehemu na cmu ya mchina, mbembedo zimejaa uso mzima halafu mnaponda fulani anasura mbaya,kabla ya kukashfu tupiamo tupicha twako tuwili tutatu halafu tuone.
Hivi kaka The Bleiz hili dongo na mimi linanihusu au?
Kama ndio nicheki private nikutumie picha 1 kisha uwape mrejesho wenzio.
Sio kila anayeponda ni mbovu.
 
Humu ndani neno mgumba mnalipotosha maana, hivi mtu alieshika mimba akaitoa kwa hiari yake, anakuaje mgumba? huyu labda kapoteza uwezo wa kubeba mimba kwa ridhaa yake, mungu hakumuumba mgumba
 
Hahaa Hapana Nifah inawahusu wale wenye sura kama fenesi, wanajijua.
Ulishanivuruga aiseee, hata ungetaka kuniona Wallah ungeniona.
Ila kama ndio ulimaanisha hivi basi khery, nadhani wamekusoma.
 
Back
Top Bottom