Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

katuchosha nae utamfikiri mgeni wa naniliu, akwendree huko, amuache wema keshamuachia Daimond nini kinamkuna, tena wangemvalia njuga aweke DNA na masikio yake ,yeye mwenyewe fake ndio habadilishi mapazia Yale Yale miaka nenda Rudi, ye katembea mpaka na P square hajioni
P square ni kundi,kutembea nao wote?
 
Ni muendelezo wa vita ya maneno isiyoisha kati ya anayejiita Zari The Bosslady na wa kuitwa Tanzanians sweetheart Wema Sepetu.

Vita hiyo imeendelea leo kwa Zari kuanza kumtupia mafumbo mwenzie Wema,wapambe wa Wema wakacharuka na kumuita boss wao Wema ambaye alitaharuki na kuuliza kipi kinachoendelea?

Ndipo mpambe wake anayejiita wemareplies alipomuwekea screen shot ya aliyoyasema Zari.

Wema nae akajibu huku akisisitiza hana muda na Zari wala kaka (Diamond)

Kama haitoshi akapost picha huku akiweka caption ya kuwa kafunzwa na mamie kugombana na watu wazima (Zari) ni kukosa adabu.

Ndipo Zari nae akamjibu kuwa yuko busy na kazi,asijisumbue.

Nimeatach na screen shots za matukio yote.....
View attachment 317643 View attachment 317644 View attachment 317645 View attachment 317646
View attachment 317731 View attachment 317643 View attachment 317644 View attachment 317645
Wakati tukiwa wengine hatujui tutakula nini wenye maisha na majina wapo msuto digital,, Dunia ya ajabu sana
 
yote haya kwa sababu ni wanawake tu ujinga ujinga hata ukiliza wanagombea nn hawawezi kukujibu thank u jesus kwa kuniamba kidumee
 
He he he. Shikamoo Nifah , Shikamoo Instragram. Yaani niko pg 1, kumbe uzi ushafika pg 30?!!.
 
wema katoa mimba tatu za watu ambao ni mastaa tunawafahamu ,na nyingine nyingi enzi hizo before 20 years,ni halali yake asizae na wala asisite kwenda kuchukua orphan child ili aweze kujifutia machoz
 
Hebu nitafute tupate walau dinner leo,sio kwa kunifurahisha huku.
Halafu kuna majitu yanamtetea Zari sio mswahili!
Umenifurahisha sana.....
Haaa...haaa...haaa ! Naonaga kwenye Instagram ya wife jinsi Zari anavyomchokoza Wema. Nilikuwa na interest nae kama demu mmoja mwenye IQ ya juu na well civilized, lakini mmmh.... hatareee !
Hakuna picha ilinikera kama ile aliyomtoa Wema kashika Mbwa na yeye ana mtoto ! ....kufuru kubwa sana kwa mtoto mwenye asili ya Kiislaam (siamini kama ni muumin maana angeolewa badala ya kuzaa kwa promotion !)
 
wema katoa mimba tatu za watu ambao ni mastaa tunawafahamu ,na nyingine nyingi enzi hizo before 20 years,ni halali yake asizae na wala asisite kwenda kuchukua orphan child ili aweze kujifutia machoz
.........hivi wema azae, kaolewa na nani !??? ... daah watu bhana !
 
Scoop ana maneno jamaniiii khaaaaa
Shoga nilikuwa huko insta nimecheka na kusikitika.
Kwanza nimecheka kuhusu hii picha , pili nimesikitika video ya kikubwa ya Zari kuwekwa Insta na watoto wake wote wameitwa waone mambo ya faragha ya mama yao.
Hii ndio faida ya mijimama mizima kufanya ligi za kipuuzi wakati wana watoto wakubwa walioko Instagram.
 

Attachments

  • 1453210019454.jpg
    1453210019454.jpg
    43.5 KB · Views: 94
Chadema ilikuwepo kabla ya Lowassa kuhama CCM, na tena ilikuwa ni chama imara, pendwa na chenye nguvu na ushawishi wa kutosha, hasa katika miji mikubwa ya Tanzania.

Hata Ukawa iliasisiswa kabla ya Lowassa kukatwa na kuhamia CDM. Kwa misingi hii hamna mtu anayeweza kuja na takwimu halisia eti bila Lowassa mambo yangekuwaje UKAWA?? Kama yupo azilete.

Hoja yangu ni hii;
Lowassa mpaka sasa amegeuza kila aina ya mafanikio ya UKAWA kuwa yake binafsi na kujinasibu kuwa yeye ndo ameyaleta. Amekuwa akijinasibu kwa kauli za kujisifia binafsi kana kwamba Chadema na Ukawa havikuepo na yeye ndo alikuja kiuasisi Chadema na muungano wa Ukawa.

Kauli za Lowassa zinakiweka chama mikononi mwake, na si mikononi mwa wanachama waliosumbuka kukijenga chama hiki kwa machozi, jasho, damu, vifo, njaa, na kudhalilishwa na Nguvu za Dola.

Mfano wa kauli za Lowassa;

1. "Nimewawezesha wapinzani kufikisha wabunge zaidi ya 100, tukiweka na viti maalum"
2. "Nimewasaidia kushikilia jiji la Dar es salaam"
3. "Nitagombea 2020, najiandaa na uchaguzi mkuu "
4. "Nimeufanya upinzani kuwa na nguvu kuliko wakati wowote"

Na nyingine nyingi zenye utata!

Swali ni je, kwanini hizi "nime" zisiwe "chama kime"? Halafu toka lini Lowassa amefuta taratibu za kumpata mgombea urais ndani ya chama na kujihakikishia nafasi ya kugombea uchaguzi mkuu 2020??

Lowassa apewe onyo, na afunzwe kuwa siasa ni collective and intergrated efforts na sio One man show or else mtwambie kama amekabidhiwa chama mikononi mwake, na lini ilifanyika hivyo.
 
wema katoa mimba tatu za watu ambao ni mastaa tunawafahamu ,na nyingine nyingi enzi hizo before 20 years,ni halali yake asizae na wala asisite kwenda kuchukua orphan child ili aweze kujifutia machoz
Utakufa mdomo wazi mwana mjaa laana wewe.
Unataka kutuambia wewe ni mtakatifu sana? Sio vizuri kuhukumu wala kumuombea mabaya mwenzio.
Mimi Wema simpendi lakini katika hili la mtoto namuombea kheri.
 
Back
Top Bottom