Kimenuka: Kamati ya maadili ya TFF yakutana kumjadili Makamu wa Rais Michael Wambura

Kimenuka: Kamati ya maadili ya TFF yakutana kumjadili Makamu wa Rais Michael Wambura

Kamati ya maadili ya TFF inakutana leo Machi 14, 2018 pamoja na mambo mengine itajadili suala la Makamu wa Rais wa TFF Michael Wambura aliyefikishwa kwenye kamati kwa makosa matatu.

Kosa la kwanza ni kupokea fedha za TFF isivyo halali.

Pili kugushi barua

Pamoja na kushusha hadhi ya TFF


TFF ya Tenga ilipigana ilivyoweza kuhakikisha kwamba haingii kwenye safu ya uongozi wa soka hapa nchini. Ni kwa sababu tayari alikuwa na viashiria lukuki vya kutaka uongozi kwa maslahi yake binafsi na ya klabu yake ya Simba. Lakini vinyamkwera ndani ya TFF na Kamati zake vikampitisha. Vione sasa!
 
Thathaa, saasa, muraa umefanynini muraa! Yan kwerii muraaweetu, urivyogoombania nafasi hiyo miaaka yote, reo unaenda kufanya madhudhuu, aaha! Hii hapana Muraa!
 
Michael Wambura au Boniface Wambura?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Boniphace Wambura ni yule alikuwa bodi ya ligi sijui siku hizi yuko wapi maana mara ya mwisho nilimuona anakatisha maeneo ya Clock Tower Arusha akionesha ana mawazo mengi. Michael Wambura ndio huyo mwizi ambaye anaiba kwa mtindo ule ule unaomtesa Malinzi jela
 
Wasukuma huwa tuna msemo wa kutahadharisha watu, huwa tunasema "SHOKASHOKA IKASHOKELAGA NA YINGI" huyu Wambura akanyee debe tu aliyataka mwenyewe. Kurudi rudi kwake TFF ndiyo alikuwa anayatafuta haya!
Ha haa.. SHINISHO NKOYI.
 
Mtu kashakula kula kifungo huko cha maisha
Ndiyo stahili yake huyo. Amezidi utapeli.
Baada ya hapo akajibu kugushi kule kortini.
Hii inaonyesha uongozi wa Tenga ulikuwa sahihi kuhusu Wambura.
 
UOTE="Job K, post: 26231352, member: 27429"]NANG'HO NKOYI GASH'ULIMNHU?[/QUOTE]
Naki jogoli nkoyi.
 
Michael wambur duuh! Yaani nilikuwa najua kabisa huyu jamaa anagombea sana kurudi TFF kwa ajiri ya kupiga pesa tu,hakuna kingine kilichokua kinampeleka pale.yaani ameshindwa kabisa kusoma alama za nyakati? Kweli mlamba asali ahachi.alishapajua kuna pesa za mchezo.
Usichojua ni kua Tuhuma hizi zinahusu tukio lililotokea zaidi ya Miaka 10 iliyopita
 
Back
Top Bottom