mwangalingimungu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,301
- 733
TFF ya Tenga ilipigana ilivyoweza kuhakikisha kwamba haingii kwenye safu ya uongozi wa soka hapa nchini. Ni kwa sababu tayari alikuwa na viashiria lukuki vya kutaka uongozi kwa maslahi yake binafsi na ya klabu yake ya Simba. Lakini vinyamkwera ndani ya TFF na Kamati zake vikampitisha. Vione sasa!Kamati ya maadili ya TFF inakutana leo Machi 14, 2018 pamoja na mambo mengine itajadili suala la Makamu wa Rais wa TFF Michael Wambura aliyefikishwa kwenye kamati kwa makosa matatu.
Kosa la kwanza ni kupokea fedha za TFF isivyo halali.
Pili kugushi barua
Pamoja na kushusha hadhi ya TFF
yule jamaa wa "friends of Simba"?Michael Wambura
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Boniphace Wambura ni yule alikuwa bodi ya ligi sijui siku hizi yuko wapi maana mara ya mwisho nilimuona anakatisha maeneo ya Clock Tower Arusha akionesha ana mawazo mengi. Michael Wambura ndio huyo mwizi ambaye anaiba kwa mtindo ule ule unaomtesa Malinzi jelaMichael Wambura au Boniface Wambura?
Yaani hili dude Wambura kila mahali ni shida. Peleka mahakamani.kila tasisi anayo kuepo wambura lazima pawe na mgogoro na fitna,
Ha haa.. SHINISHO NKOYI.Wasukuma huwa tuna msemo wa kutahadharisha watu, huwa tunasema "SHOKASHOKA IKASHOKELAGA NA YINGI" huyu Wambura akanyee debe tu aliyataka mwenyewe. Kurudi rudi kwake TFF ndiyo alikuwa anayatafuta haya!
NANG'HO NKOYI GASH'ULIMNHU?Ha haa.. SHINISHO NKOYI.
Usichojua ni kua Tuhuma hizi zinahusu tukio lililotokea zaidi ya Miaka 10 iliyopitaMichael wambur duuh! Yaani nilikuwa najua kabisa huyu jamaa anagombea sana kurudi TFF kwa ajiri ya kupiga pesa tu,hakuna kingine kilichokua kinampeleka pale.yaani ameshindwa kabisa kusoma alama za nyakati? Kweli mlamba asali ahachi.alishapajua kuna pesa za mchezo.