GANA BANKS
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 608
- 872
Za ndaniiiiii,
Mdau mmoja ambaye sitopenda kuweka jina lake hapa ambaye yuko Nchini Uturuki ananipenyezea mambo kadhaa kuhusu Mnyama,
(1) Kocha hamtaki Ngoma
Kocha Mkuu wa Simba Mbrazil Mzee wa Samba Boy anasema hamuelewi hata kidogo Fabrice Ngoma. Jana ilichezwa mechi ya mazoezi baina yao Simba full game, Ngoma alicheza Dakika 37 akawa amepata Injury 🩸 kocha anasema hakumpendekeza, sasa sijui itakuwaje?
(2) Luis kaongezeka uzito
Kwa mujibu wa mdau anasema Bwana mdogo Konde Boy ameongezeka uzito kwa kilo 15, kwahiyo Kocha anauliza kwanini alisajiliwa na ni lini uzito huo utapungua? Kocha kawaka vibaya, Viongozi wanamtegea tuu ndiyo maana Mgunda kawekwa pembeni kuja kuchukua nafasi ya kocha.
(3) Kipa wa Kibrazili
Golikipa huyo kavuta mkwanja Million 400 huku Mshahara wake uko kiasi cha Tsh. Milioni 14. Beno Kakolanya aliomba Million 65 asaini Simba wakakataa akamua kwenda zake Singinda alikovuta Tsh. Milioni 100. Inasemekana Golikipa ni dili la mtu mmoja pale Simba.
Mdau anamalizia kwa kusema Kocha hawezi kufika November ya mwaka huu.