Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Hao border collie ni mbwa wenye akili sana; ninafuga mmoja, na nawajua sana tabia zao.View attachment 2703565
Huko Brazil hadi mbwa wanacheza boli. Na kuhusu huyo Ngoma kuna video ya Robertino akimsifia na jana baada ya kupiga bonge la assist kwa Zimbwe alimkimbilia Robertinho akapongezwa.
Na mbona mlisema huyo kipa kaletwa na kocha mwenyewe, leo mnasema ni dili la "mtu mmoja pale Simba"