Malalamiko na tuhuma anazotoa Jay Dee(Anaconda) si mpya kwani zilishazungumzwa sana, zimeimbwa na kitabu zikatungiwa. Kama unataka ushahidi upo kwenye maandishi. Katafute FROM STREET TO PARLIAMENT.
Matusi JF si angekuwa ashapigwa BAN?
Twendeni kwenye meza na tupeane majibu ya hili sakata.
Kwa kuanza basi Ruttashobolwa hebu eleza ni kitu gani unachompinga Putin?
Hawa Barnaba na Linah wamehama kwa Ruge?RUGE NA WENZIO MJIPANGE SANA NA UNYONYAJI WENU HUU NI MWANZO TUU
Lady Jaydee added a new photo.
Like · · Share · 279692 · 6 hours ago ·
Hivi Unaweza Ongelea background ya mtu Humjui? Jibu hoja co kumtetea huyo BIBI.
Out of topic, hivi Jide ana umri gani? nimekuwa nikilisikia sana hili swala la umri ningependa kujuwa kama una taarifa sahihi za umri wake au watu aliosoma nao Primary au Secondary wana umri gani? niko interested sana kulijuwa hili don't ask me why!!Hivi Unaweza Ongelea background ya mtu Humjui? Jibu hoja co kumtetea huyo BIBI.
Ebana elewa kuwa hakuna anaepinga hizo harakati.
Ila binafsi mishipa inanisimama kupinga unafiki aliouonesha huyo Bibi.
....mkuu unajua kupigwa vita au unachukulia poa !.........unajua kuwa hawa wana studio iliyofadhiliwa na serikali ?
unaikumbuka vita ya vinega ambayo ilizimwa na Nchimbi kwa kuwapatanisha Sugu na Ruge?
Go JIDE! Lazima sanaa ifate direction sahii.Huu si wakati wa kuwaunga mkono wanyonyaji kupitia madhaifu ya JD kipindi cha nyuma.
Kama tulivyosimama na Sugu hapa JF sasa tunasimama na JIDE!
Like ur name says
Hivi Unaweza Ongelea background ya mtu Humjui? Jibu hoja co kumtetea huyo BIBI.
Hawa Barnaba na Linah wamehama kwa Ruge?
mkuu unajishusha sana kutetea redio inayoshabikia na watangazaji wake kujiusisha moja kwa moja na mapenzi ya jinsia moja...
Linah na Barnaba wameiambia Bongo5 kuwa hawatakuwepo kwenye show ya miaka 13 ya muziki ya Lady Jaydee itakayofanyika May 31, kwa kile walichodai ni kutoafikiana kwenye malipo.
Wamesema licha ya kuendelea kuwepo kwa majina yao kwenye poster ya show hiyo, hawatotumbuiza siku hiyo.
Dada yetu alituita, akatuambia kwamba ana kazi yake ya kutumiza miaka 13 kwahiyo akawa anasema anahitaji wasanii ambao watamsupport kwaajili ya kufanya show, amesema Linah. Sisi tulifuata protocol zote kwasababu kama wasanii tuna viongozi, tukafuata protocol zote kuweza kukubaliana naye mpaka tukafikia hatua kwenye masuala ya biashara, yaani malipo. Kwenye upande huo kidogo tukawa tumepishana, kwenye upande wa masuala ya maslahi. Lakini sasa tunashangaa yeye kuanza kuweka posters.
Kwa upande wake Barnaba amesema hawajashindwana na Lady Jaydee lakini wao kama wasanii wana menejementi na matakwa ya ofisi zao na hivyo muafaka ulishindwa kufikiwa na pia walikuwa na booking zingine.
Hata hivyo Barnaba amesema hakuna ugomvi wowote baina yao na Lady Jaydee. Tuko safi tu na dada, mbona tuliafikiana vizuri tu na tuko kwenye maongezi mazuri tu, tulishaongea na hili suala liko vizuri, amesema Barnaba.
sugu na magenge walionekana wahuni sasa KOMANDO naye kaingia vitani