Kimenuka: Lady jay Dee afunguka, Atoa wosia wake siku akifa

Kama ni kweli mungu atawaacha ,kuna siku ukweli utawekwa wazi kila mtu ataona na huo ndo utakuwa mwisho wao.
 
Pole sana kwa hayo yote yanayotuzunguka. Simama na Mungu, watavuna yao wanayoyapa hapa duniani
 
Watabaki wale mazwazwa kama Fid q.....Lakn wasanii wenye akili zao wameshasanda aisee....Sugu,Jide, Afande Sele, Rama Dee ,Diamond + WCB na wengine wengi, machozi yao Mungu atalipa....Clouds malipo in hapa hapa Duniani
 
Hoja nzito kuliko zote kutoka dada mkuu JIDE ni hii "Na hii ni kwasababu wanaogopa msanii akiwa mkubwa watashindwa kumuamrisha, Hamuwezi kumiliki dunia.. Kama mnasema mlinibeba mbona hamkuwabeba dada zenu wa tumbo moja waimbe ili hela irudi nyumbani??. kama kweli wewe Kusaga unajua kubeba basi beba jiwe liimbe liwe star.."
 
Kwa hiyo nyimbo za lady jay dee hazichezwi kwenye vituo vya wasafi.
 
Just wondering why is she so mad. What exactly did they do to her to make her this mad?
Kasema wamekuwa wanafight sana kukata mirija yake ya fedha. Inaonekana this time around wamegusa ule mrija mpana zaidi maana hili povu sio la kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…