Debwadebwa
JF-Expert Member
- Sep 29, 2014
- 204
- 278
acheni kufukua makaburi ya zamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamkufuru mungu mkuuanasumbuliwa na kizazi sio kosa lake aendelee kumwomba mungu asimlaumu ruge hatoweza kumpa anachotaka
Mungu hatawaacha.Kama ni kweli mungu atawaacha ,kuna siku ukweli utawekwa wazi kila mtu ataona na huo ndo utakuwa mwisho wao.
Kasema wamekuwa wanafight sana kukata mirija yake ya fedha. Inaonekana this time around wamegusa ule mrija mpana zaidi maana hili povu sio la kawaidaJust wondering why is she so mad. What exactly did they do to her to make her this mad?