Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Komandoo hatakanyaga. Ana misimamo isiyoteterekaSiku zote ukiwa na hasira unatakiwa ukae kimya maana unaweza kusema vitu ambavyo baadae utajuta.
Sasa Ruge katangulia mbele ya haki tuone kama hatoenda kwenye msiba au kushiriki kwa namna yeyote.
HOJA DHAIFU KAMA ZILE ZA CCM, YAANI MKATABA NAPASWA KULIPWA 500K ETI KWA KUWA NIMELIPWA 450K BASI NIRIDHIKE??Hawa wasanii hawana Shkran
Hata kama wanadai walinyonywa lkn fedha walitengeneza,Sema wakipigika kifedha ndy wanakuja kulalama!
Ngoja limziki wao ufilie mbali kama bongo movie tuone jeuri yao
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
FANYA MEMA YOTE UKIHARIBU TUNAANGALIA MABAYA.Ina maana hakuna jema Ruge alilowahi kumtendea JD?!
Walilala chumba kimoja hotelini Johannesburg, South AfricaIna maana hakuna jema Ruge alilowahi kumtendea JD?!
Maskini hafilisikiWanaolalamika kudhulumiwa Na Ruge tu waulize utajiri wao ulikuaje kabla ya kuanza kudhulumiwa Na Ruge?
Hili ni kaburi limefukuliwa, usijifanye una makengeza, thread hii ni ya mwaka 2013, Ruge alikuwa na nafasi ya kutosha kujibu kama haitoshi akampora Sugu mradi wa malaria no more akiitumia ikulu kwa connection ya January Makamba akiwa mfanyakazi wa ikulu, sasa Kusaga huwa hatajwi kumbe nalo ni lishetani tu ajitakase sasa akiwa haiMbona maneno magumu haya alafu mleta uzi kwann usipishe kwanza majonzi haya yaishe ndio ulete haya mambo ya 2013? Na mbona hamkusambaa huu warka Ruge akiwa hai ili aweze kuujibu?
Sent from my iPad using JamiiForums
Kwani Ruge ni nani mpaka kila mtu aende msibani kwake? Sikwenda msiba wa Nyerere na nisipoenda kwa Ruge whats make a different?Siku zote ukiwa na hasira unatakiwa ukae kimya maana unaweza kusema vitu ambavyo baadae utajuta.
Sasa Ruge katangulia mbele ya haki tuone kama hatoenda kwenye msiba au kushiriki kwa namna yeyote.
Upo sahihi, Sugu alikubali kupatanishwa na Ruge kwa sababu za kisiasa tu lakini nina uhakika hajamsamehe mpaka leo, Ruge amemtesa sana Sugu hili mimi siyo wa kuhadithiwa nalijuwa fikaMimi bado naamini JD na kina ruge wana maugomvi yao mengine binafsi ukiachilia masuala ya mziki...alikuwa mtangazaji clouds pia nyimbo zake zilikuwa zinapigwa kuliko wasanii wengine wowote wa kike...ila kuna wasanii ambao wana haki kuwa na beef na ruge...mtu kama sugu isingekuwa ubunge angelosti kabisa...baada ya kuhustle sana alirudi zake kutoka mamtoni na vifaa vyake vya studio, hawakumkawiza watu wakapita navyo...saida kalori, vumilia, buibui, diamond e.t.c.
Sent using Jamii Forums mobile app
Advantage ya Sugu alikuwa na advantage ya kwenda kupiga box Marekani, wana wanamkubali na ubalozini ana rekodi nzuri hawezi kunyimwa viza ya kuingia Marekani, siku moja tupo wote ubalozini akaanza kuitwa yeye kwenye interview yule consulor badala ya kumuhoji akawa anamwambia this time akifika Marekani atafute wafadhili wakubwa, nikajisemea tu watu na nyota zaoKweli,bila ubunge sugu labda naye angedata na kuvuta Kama wasanii wengine
Sent using Jamii Forums mobile app