Jamani wapi nitapata mwaliko mie, hadi muda huu ndio maji ya ugali yanabandikwa hapo ni baada ya furu na mboga ya maboga kuivishwa.
Mbaya zaidi kwa majirani ndio kumekolea, hapa pua zangu zinanusa kila harufu ya mapochopocho, makorombwezo na madikodiko...
Jamani niokoeni mwenzenu walau hata kwa mwaliko wa dinner nami nisafishe tumbo kwa leo!!
ha,ha,ha,ha.....teh,teh,...bora yako mie leo ding alfajiri katukusanya wote mwelekeo shambani,hiv tupo tunaandaa shamba....alafu yupo kanuna ili tusipatekumuuliza x-mass
Worry out ..... Nimekuandalia mahanjumati kama haya!!!! Karibu.....
Jamani wapi nitapata mwaliko mie, hadi muda huu ndio maji ya ugali yanabandikwa hapo ni baada ya furu na mboga ya maboga kuivishwa.
Mbaya zaidi kwa majirani ndio kumekolea, hapa pua zangu zinanusa kila harufu ya mapochopocho, makorombwezo na madikodiko...
Jamani niokoeni mwenzenu walau hata kwa mwaliko wa dinner nami nisafishe tumbo kwa leo!!
Hahah! Karibu kwetu.. sister anarost kuku original, ndizi na viaz, maza kafunikia pilau Mbuzi huku akiandaa makaroni, shemeji anaandaa salad ya maana pamoja na chachandu ya nguvu! Kifupi hapa kwetu leo ni drafti...
Hiyo isikusumbue kabisa! Mega ugali wako kwa kutumia harufu nzuri toka kwa jirani! Ni suala la kuwa IMAGINATIVE🙂
Hahah! Karibu kwetu.. sister anarost kuku original, ndizi na viaz, maza kafunikia pilau Mbuzi huku akiandaa makaroni, shemeji anaandaa salad ya maana pamoja na chachandu ya nguvu! Kifupi hapa kwetu leo ni drafti...
Picha please!Jamani wapi nitapata mwaliko mie, hadi muda huu ndio maji ya ugali yanabandikwa hapo ni baada ya furu na mboga ya maboga kuivishwa.
Mbaya zaidi kwa majirani ndio kumekolea, hapa pua zangu zinanusa kila harufu ya mapochopocho, makorombwezo na madikodiko...
Jamani niokoeni mwenzenu walau hata kwa mwaliko wa dinner nami nisafishe tumbo kwa leo!!
watu8 inaelekea huishi na majirani vizuri.
Embu vaa fasta nenda kwa jirani jidai luku imeisha kwenu unaenda kuangalia vipindi vya bwana yesu...
Baada ya mda mambo yatakuwa safi