watu8 inaelekea huishi na majirani vizuri.
Embu vaa fasta nenda kwa jirani jidai luku imeisha kwenu unaenda kuangalia vipindi vya bwana yesu...
Baada ya mda mambo yatakuwa safi
Mkuu SURUMA kura yako ni muhimu sana kwangu!!!!
Wanachitchat woote karibu
kwa kuanza na daddy watu8, Nicas Mtei, marejesho, Baba V, Madame B, Arabela, amu, Elba na Ruhazwe JR.... ni wakati wa msosi!!!!!!!
Wanachitchat woote karibu
kwa kuanza na daddy watu8, Nicas Mtei, marejesho, Baba V, Madame B, Arabela, amu, Elba na Ruhazwe JR.... ni wakati wa msosi!!!!!!!
sura ilivyonikunjamana hapa kila picha inaungua....lol!
tafadhali mpenzi niokoe niepukane na kiama cha hili bondo...do ze nidful pulizzzz!!!
ondoa shaka my baby..Mkuu usisahau kura yako piga kwa charminglady!!!!!!
Ahaahaahaaahaaaaa pole weee. Mie huku hawamalizi kupika jmn. Hivi why masaptosapto ya skukuu huchelewa! Mie nimepika mapeeema pishi langu. Wenzangu now ndo kwaaanza wanakaaanga vitunguu! Njaa balaa! Ngoja nikapoze kwa kulianzia pishi nlilopika! Isiwe taab banaaa! watu8 kama vipi njoo huku bado sanaaa.......
Wanachitchat woote karibu
kwa kuanza na daddy watu8, Nicas Mtei, marejesho, Baba V, Madame B, Arabela, amu, Elba na Ruhazwe JR.... ni wakati wa msosi!!!!!!!
ha,ha,ha,ha.....teh,teh,...bora yako mie leo ding alfajiri katukusanya wote mwelekeo shambani,hiv tupo tunaandaa shamba....alafu yupo kanuna ili tusipatekumuuliza x-mass
Wanachitchat woote karibu
kwa kuanza na daddy watu8, Nicas Mtei, marejesho, Baba V, Madame B, Arabela, amu, Elba na Ruhazwe JR.... ni wakati wa msosi!!!!!!!