KiMENUKA leo hapa home wamepika UGALI...


duuuu yaani ndio naona hii hapa ni full kijichokonoa kwenye meno minyama ya ndafu tu..
 

hilo sio nguna la ilboru miaka ya 2000 kweli??dona hilo kwa afya mkuu
 
hilo sio nguna la ilboru miaka ya 2000 kweli??dona hilo kwa afya mkuu

Dah kaka ile dona ya Ilboru ukikuta Erasto au Baunsa(Meleckzedeck) kaisonga ni ngumu liasi ukiimega ukampiga nayo paka lazima apoteze uhai...
 
Last edited by a moderator:
Hii ni misuse ya equipments. Yaani bisu la kuchinjia mbuzi mnachinjia ugali?
BAK,, pole kwa ubusy wa kutumia mahela kwa xmas, ila naomba wimbo wa dogo janja 'tena inaniuma kwa sana, loe. Nikitoka naenda kumuuambia mama, lol'

Bila kuwa na bisu kama hilo nguna hailiki we unadhani utaimega vipi, kitu kigumu kama tofali la kuchoma....
 
Last edited by a moderator:
Kiporo cha pilau ni noma..... Kitamujeeeeee
Karibuni woooooteeeee!!!!!

 
Hehehe, umepasha na maji kisado eeh? Palilia makaa ndo kitapungua michudhi

Shost tepe tepe ndo mpango mzima... make nina njaa balaa afu sukari kwishney maduka hawajafungua so likikauka sana litanikaba koo!!!!!
 
Yaani we ushamfanya mke wangu mmero eenh...mwanangu yupo Dubai mpigie kwa hii namba +913564109443

subutu, mwanao dubai anapaona kwenye internet tu. mzima wewe?
 
subutu, mwanao dubai anapaona kwenye internet tu. mzima wewe?

Hahahaa..basi kwa taarifa yako huwa ashinda huko kama weye uendavyo gengeni kwa Mangi kila asubuhi.
Mie mzima mpendwa sijui wewe, kwema ulipo?
 
Hahahaa..basi kwa taarifa yako huwa ashinda huko kama weye uendavyo gengeni kwa Mangi kila asubuhi.
Mie mzima mpendwa sijui wewe, kwema ulipo?

hahaha!! huku kwema. ngoja nimuamshe mwanao sweetlady aje atoe ushuhuda. jana amelala na hangover.
 
Last edited by a moderator:
watu8 inaelekea huishi na majirani vizuri.
Embu vaa fasta nenda kwa jirani jidai luku imeisha kwenu unaenda kuangalia vipindi vya bwana yesu...
Baada ya mda mambo yatakuwa safi

Hiyo isikusumbue kabisa! Mega ugali wako kwa kutumia harufu nzuri toka kwa jirani! Ni suala la kuwa IMAGINATIVE🙂

hahaaaaaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…