Kimenuka: Mawaziri na Wabunge ambao ni Team Membe kupukutishwa

Hakuna waziri aliyekuwa team Membe acheni upotoshaji!
Mwaka 2015 kulikuwa na watu wawili tu ambao ndio ilikuwa inaaminika mmoja lazima awe rais. Watu hao ni Bwana Bernard Membe na Edward Lowassa.

Kwa kawaida ya binadamu kujipendekeza na kutafuta kukumbukwa,hawa watu wawili lazima watakuwa walijipatia wapambe wengi sana. Labda useme wameshamkimbia.
 
Vijana wa Membe wengi wako kwenye uDC.

Friends of Lowassa ndio walifanikiwa kukumbukwa baada ya kubadilika na kutomfuata Laigwanan kule Chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…