Kimenuka: Mawaziri na Wabunge ambao ni Team Membe kupukutishwa

Kimenuka: Mawaziri na Wabunge ambao ni Team Membe kupukutishwa

Membe ana hazina kubwa saaana nyuma yake, so CCM B wajiandae kupambana na CCM ASILI

Hawa wanasiasa unaowaona hakuna aliyemkubwa kukizidi CCM na wanakuwa na nguvu ushawishi na vinginevyo wakiwa CCM Membe kuenguliwa CCM ni swala la mkakati kwamwe usije kumwamini mwanasiasa aliyefika inner circle akikwambia yeye ni mpinzani Tanzania.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Waache wauane, Maana CCM ya sasa haitaki demokrasia ndani na nje ya CCM, mnaogopana na kuogopa upinzania ndio maana mnazurura nchi nzima mkizuia wengine, bado mnavuruga uchaguzi kwa maslahi ya chama chenu
 
Nchi masikini haziwezi kuwa na demokrasia si katika vyama vya siasa wala Serikali kwa maana nguvu ya maamuzi wanayo wahisani na si Wananchi.
Vyama hivi vya siasa huchelea kitimiza matakwa ya wakoloni

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cha kujiuliza SOURCE YA HABARI ni Tanzania Daima.
 
Labda wanaomuunga ni Mama Salma, Ridhiwani na Shukuru Kawambwa. CCM haiwezi kuwagusa hao miamba. Vinginevyo kitanuka.
 
View attachment 1376570

Hii itaturudisha nyuma hadi mwaka 2015 wakati wa kura za maoni ndani ya ccm , ni nani na nani waliomuunga mkono ?
Hapa ndipo ccm B itakapozaliwa
Jiwe anajidanganya sana au anadanganywa
Karibu Ukimbizi Tz
Tembo wakipigana zinazoumia ni nyasi
Tuendelee
Mbatia na wenzake watavuna wanachama ccm itagawanyika upinzani utagawanyka then what's Next?!
 
Membe ameingia mwituni nini?Mbona hasikiki tena baada ya kukatwa mkia?
 
Back
Top Bottom