Cesar Saint
JF-Expert Member
- Nov 18, 2016
- 423
- 726
Membe ana hazina kubwa saaana nyuma yake, so CCM B wajiandae kupambana na CCM ASILI
Waache wauane, Maana CCM ya sasa haitaki demokrasia ndani na nje ya CCM, mnaogopana na kuogopa upinzania ndio maana mnazurura nchi nzima mkizuia wengine, bado mnavuruga uchaguzi kwa maslahi ya chama chenuHawa wanasiasa unaowaona hakuna aliyemkubwa kukizidi CCM na wanakuwa na nguvu ushawishi na vinginevyo wakiwa CCM Membe kuenguliwa CCM ni swala la mkakati kwamwe usije kumwamini mwanasiasa aliyefika inner circle akikwambia yeye ni mpinzani Tanzania.
Sent from my iPhone using JamiiForums
πππ
Waache wauane, Maana CCM ya sasa haitaki demokrasia ndani na nje ya CCM, mnaogopana na kuogopa upinzania ndio maana mnazurura nchi nzima mkizuia wengine, bado mnavuruga uchaguzi kwa maslahi ya chama chenu
Hapa ndipo ccm B itakapozaliwaView attachment 1376570
Hii itaturudisha nyuma hadi mwaka 2015 wakati wa kura za maoni ndani ya ccm , ni nani na nani waliomuunga mkono ?