Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kikinuka wolper atakuwa adui yao namba moja..hawajamsahauMbona hakinukishi kwa Alshabaab, Bokoharum na magaidi wengine?
mkuu ningeomba uweke bayana Jack Wolper alikuwa anaswali msikiti gani hasa... kabla haja-apostacy,..Isije ikawa changa la macho alikuwa anaigiza filamu ya mapenzi na dulla?Na je sheria inamchukuliaje Dulla kuwa na mahusiano(intimacy) na binti wa kikristo .Jacqueline Wolper kubadilibadili dini mara kwa mara imeonekana kuwakera watu mbalimbali akiwemo Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Musa Salum ambaye amemcharukia vikali.
"Siyo vizuri hata kidogo na hata dini zote zinakemea kitendo cha kuchezeachezea dini kwani ni chukizo kwa Mungu
"Kwa upande wa Dini ya Kiislamu, kuna sheria kali zaidi kwa mtu akionekana na tabia hiyo, anaweza hatakuuawa hivyo wanaofanya mchezo huo waache kwani siyo vizuri. Huko ni kumfanyia Mungu dhihaka," alisema Shehe Salum na kuongeza:
Dini ni suala la Mtu binafsi....ni la hiari
Hapa ndipo nnapowakubali shemeji zangu wachaga kwa kuabudu pesa..
Hyo ni shikamoo pesaHapa ndipo nnapowakubali shemeji zangu wachaga kwa kuabudu pesa..
Jaman mwenye picha za uchi za wolper anitumie whatsup au kwa PM please
Una laana kali wewe. Eti tatizo ni Mungu!!!!. Enzi za Mungu kutoa adhab za papo kwa papo zilipita zama wakina Nuhu, wakati huu Mungu katupa Relief, instant punishment alipunguza kwa watu wake. Hata wewe huu utumbo ulioandika ingekuwa zaman ungeshakula punishment kali ila hilo wewe huoni, unavuta pumz hujalipia bado unaongea lugha za kufuru, kwa kufuru hii, ni halali kuitwa KAFIRI- Mtu aliyekufuru!
Sheria na hukumu zoote za Kiislamu hutekelezwa ktk Nchi au Dola ambayo iko Chini ya UONGOZI WA KIISLAMU.
Sasa hapo TZ Serikali Yote na Mambo yake NI YA KIKAFIRI.
Na wao wana slogan inayosema SERIKALI YA TZ HAINA DINI.
Kwa hivyo hakuna mwenye kuweza kutekeleza HUKUMU ktk Nchi zinazoendeshwa KIKAFIRI.
Labda cha kumshauri huyo dada yenu ni kuwa Vipi alikubali kumkimbia yesu wa msalabani kwa ajili Ya MUME TU?
usanii wake mpaka kwenye IMANI YAKE? Au yoote hio ni ku act tu!
Hayuko kwenye maparoko wala msikitini. Yeye kikubwa ni pochi tu!
Ndugu daima unapoandika Mungu anza na herufi kubwa!Hapa tatizo sio huyu dada bali ni mungu mwenyewe.
Kama mungu anaju yote na hata yale ambayo hayajatokea, basi lazima alijua kuwa huyu binti ata rudi ukristo baadae.
Sasa kwanini aliruhusu hiyo ndoa itokee na huyu dada ahamehame dini?
Pia ni lazima mungu karuhusu huyu dada kurudi ukristo maana kama isinge kuwa hivyo, basi kurudi kwake ukristoni kungezuiliwa na mungu mwenyewe. Mungu si wa dini zote, au hataki ukristo tena? Inaonekana mungu wenu hajapinga ili swala; ni binadamu tuu mnatafusiri mambo kivyenu....
Ndugu daima unapoandika Mungu anza na herufi kubwa!
Bora niwe kafiri kuliko kuabudu mungu ambae kaumba dunia yenye matatizo, magonjwa, na ushetani. Dunia ya mungu ina upungufu mkubwa maana ina ruhusu ukatili, ukoloni, utumwa na ubakaji wa watoto wadogo kufanyika! Binadamu wasinge weza kufanya uovu kama mungu angeweka mazingira bora duniani toka mwazo. Si wanasema mungu ndiye mjua yote na mwenye uwezo wote?
Mimi ningekuwa mungu nisinge ruhusu ubaya wowote utokee kwenye dunia yangu. Hata fikra zote mbaya nisinge ruhusu watu wawe nazo akilini - ningeumba ubongo perfect. Alafu kwakuwa mimi ni mungu na ninajiamini, nisingetaka kusujudiwa,kutukuzwa, au kuwatia majaribuni watu wangu. Ningetenda mema tuu na kusheherekea umbaaji wangu tukufu.
Engineer/mhandisi akitengeneza ndege ya abiria nilazima aitest kwanza kabla haija beba abiria. Sio kuiacha kuruka alafu kuilaumu Engine ya ndege kama chombo hicho kikianguka toka angani!!!
Kwahiyo mkuu, kama mimi ni kafiri, basi iliyeniumba kachakachua.......kwasababu kaumba binadamu mpungufu.....
sidhani kama watu watakuelewa, binafsi nimekuelewa sana. Asante kwa kutazama mada kwa jicho la tatu!
Zpi tena hzo binamu
miganga mingine sijui ni wanga au nini kumamae zake, sasa huyo wolper dini kabadilisha jana au anatafuta bwana?
Ww mrumi nani kakwambia mimi ninafuga hayo mapicha? hebu nitake radhi..Jaman mwenye picha za uchi za wolper anitumie whatsup au kwa PM please
Sheria na hukumu zoote za Kiislamu hutekelezwa ktk Nchi au Dola ambayo iko Chini ya UONGOZI WA KIISLAMU.Sasa hapo TZ Serikali Yote na Mambo yake NI YA KIKAFIRI.Na wao wana slogan inayosema SERIKALI YA TZ HAINA DINI.Kwa hivyo hakuna mwenye kuweza kutekeleza HUKUMU ktk Nchi zinazoendeshwa KIKAFIRI.Labda cha kumshauri huyo dada yenu ni kuwa Vipi alikubali kumkimbia yesu wa msalabani kwa ajili Ya MUME TU?usanii wake mpaka kwenye IMANI YAKE? Au yoote hio ni ku act tu!
Hayuko kwenye maparoko wala msikitini. Yeye kikubwa ni pochi tu!