Kimenuka mbaya: Shehe amtolea uvivu Jaqueline Wolper Gambe

Kimenuka mbaya: Shehe amtolea uvivu Jaqueline Wolper Gambe

Hapa tatizo sio huyu dada bali ni mungu mwenyewe.

Kama mungu anaju yote na hata yale ambayo hayajatokea, basi lazima alijua kuwa huyu binti ata rudi ukristo baadae.
Sasa kwanini aliruhusu hiyo ndoa itokee na huyu dada ahamehame dini?

Pia ni lazima mungu karuhusu huyu dada kurudi ukristo maana kama isinge kuwa hivyo, basi kurudi kwake ukristoni kungezuiliwa na mungu mwenyewe. Mungu si wa dini zote, au hataki ukristo tena? Inaonekana mungu wenu hajapinga ili swala; ni binadamu tuu mnatafusiri mambo kivyenu....

We kweli Kiazi,,,kwahiyo wale wanaofanya Maasi mfano uuaji na uzinzi ni Mungu ndio kachagua? Kwanini asiwazuie? Uwe unaandika kwa kufikiria kichwani na sio kwenye Masaburi


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
We kweli Kiazi,,,kwahiyo wale wanaofanya Maasi mfano uuaji na uzinzi ni Mungu ndio kachagua? Kwanini asiwazuie? Uwe unaandika kwa kufikiria kichwani na sio kwenye Masaburi


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Ndugu, ngoja nifafanue zaidi:

Siunaamini kwamba m(M)ungu kaumba peponi/heaven; mahali ambako pako poa sana na hamna matatizo yeyote? Basi ina manisha kwamba huyo mungu angeweza kuifanya dunia yetu nayo iwe safi kama peponi. Lakini inaonekana hakukusudia hivyo. Matokeo yake tuna sota sana hapa duniani. Labda wewe unaona bora tukae kimya tuu maana tukilalamika atatuchoma moto??? Kwani hata huo uhai wewe umeuomba? sikakupa yeye mwenyewe, sasa mbona anakutesa nao na kukutia majaribuni kupitia kwa kiumbe chake kilicho muaasi (shetani)?


Nasikia shetani haruhusiwi peponi. Basi kwanini mungu kamuacha atuzuge zuge hapa duniani? Hau shetani ana nguvu kuzidi mungu? Kama unaamini mungu ni mfanya yote na ndio mwenye kumiliki huu ulimwengu, basi tusimsingizie shetani kwani nae kaumbwa vilevile.

Mzazi, kama ni kweli mungu alimuumba sheatani, basi hapo alichakachua kishenzi.
Asinitumie mimi kupigana na shetani, uwezo huo sina na wala huo ugonvi hauni husu...
 
"Ya Kaisari mpeni Kaisari, na ya Mungu Muachieni Mungu Mwenyewe " Chini ya Jua hakuna aliyemkamilifu ! Hayupo
 
Hakuna So called Human rights Ikawa na UWEZO wa Kutengua SHERIA ZA MUNGU hatta siku moja.Ktk Sheria zote za Waungwana Duniani Kuna kitu kinaitwa Amnesty,Na hicho ndicho Sudan Walichofanya.Hio unayoita Human Rights ilikuwa wapi wakati WAHUTU wanachinja watoto Wa WATUTSI?Au unajifanya hujui?
ofcoz kitu cha msingi zilitanguka na ndoa na mkristo imefanyika. Glooooory to GOD.
 
Ndugu, ngoja nifafanue zaidi:

Siunaamini kwamba m(M)ungu kaumba peponi/heaven; mahali ambako pako poa sana na hamna matatizo yeyote? Basi ina manisha kwamba huyo mungu angeweza kuifanya dunia yetu nayo iwe safi kama peponi. Lakini inaonekana hakukusudia hivyo. Matokeo yake tuna sota sana hapa duniani. Labda wewe unaona bora tukae kimya tuu maana tukilalamika atatuchoma moto??? Kwani hata huo uhai wewe umeuomba? sikakupa yeye mwenyewe, sasa mbona anakutesa nao na kukutia majaribuni kupitia kwa kiumbe chake kilicho muaasi (shetani)?


Nasikia shetani haruhusiwi peponi. Basi kwanini mungu kamuacha atuzuge zuge hapa duniani? Hau shetani ana nguvu kuzidi mungu? Kama unaamini mungu ni mfanya yote na ndio mwenye kumiliki huu ulimwengu, basi tusimsingizie shetani kwani nae kaumbwa vilevile.
Mzazi, kama ni kweli mungu alimuumba sheatani, basi hapo alichakachua kishenzi.
Asinitumie mimi kupigana na shetani, uwezo huo sina na wala huo ugonvi hauni husu...
Duh!!.. pengine Ugomvi unaweza ukakuhusu kwakuwa unaishi na watu wa Mungu, unatumia mali za mungu,hewa ya Mungu, vyakula vya mungu bure, na zaidi ya yote unawakwaza watu wa mungu kwa namna fulani...Hii hoja Unaionaje ?
 
Duh!!.. pengine Ugomvi unaweza ukakuhusu kwakuwa unaishi na watu wa Mungu, unatumia mali za mungu,hewa ya Mungu, vyakula vya mungu bure, na zaidi ya yote unawakwaza watu wa mungu kwa namna fulani...Hii hoja Unaionaje ?

Naam, sasa naona unaanza kuelewa. Kama unasema kuwa ugonvi huu una husisha watu wa mungu basi
ndio hilo nililotaka ufahamu. Huu ugonvi haumuhusu mungu, bali ninyi "wana mungu" mnaoleta ugonvi na kumuingilia maisha ya huyu dada. Mbona tangu abadili dini mungu kakaa kimya, nyinyi ndo mnatoa hukumu. Unafikiri mungu angekuwa hataki huyu dada kurudi ukristo icho kitendo kingefanyika?

Mwache huyo dada ashikivyake na mungu wake...
 
Naam, sasa naona unaanza kuelewa. Kama unasema kuwa ugonvi huu una husisha watu wa mungu basi ndio hilo nililotaka ufahamu. Huu ugonvi haumuhusu mungu, bali ninyi "wana mungu" mnaoleta ugonvi na kumuingilia maisha ya huyu dada. Mbona tangu abadili dini mungu kakaa kimya, nyinyi ndo mnatoa hukumu. Unafikiri mungu angekuwa hataki huyu dada kurudi ukristo icho kitendo kingefanyika? Mwache huyo dada ashikivyake na mungu wake...
ha ha ha Sure Mkuu, just imagine aliyemfuata alimhonga pesa ili ampate na kumtaka abadili Dini, lakini mwisho wa siku akamtosa. kwahiyo anaendelea kukaa kwenye hiyo Imani kwa manufaa ya nani, Nani watakaomzika uko mbeleni? mtu hata hiyo shahada hajui ku-pronounce, msikiti hajui kwenda.

Naunga mkono hoja wamwache na maisha yake..She's a grown man, yeye sio mtoto. prodigy daughter alipokwenda alitawanya mali na kulisha nguruwe na sasa mwana mpotevu amerudi kundini.
 
we mtoto jaribu kutumia akili japo kidogo kabla ya kuchangia hoja.Kwa wenye Imani ya Mungu wanakubali kuwa Shetani yuko hapa kwa ajili ya kazi maalum.Na moja ya kazi yake ni kuwatoa watu ktk IMANI YA MUNGU. na wewe ndicho unachokifanya hapa.Unasema Mungu angefanya Hii dunia km PEPONI, nakuuliza wewe, hivi ni kipi cha maana ulichofanya mpaka ukastahili kuishi maisha ya peponi? Ni hilo domo lako linalomkashifu MUNGU?We km una uwezo wa kufikiri ungejiuliza swali moja dogo sana!Kama kila kilichopo hapa duniani KINA SABABU MAALUM ya kitu hicho kuwepo, je! Wewe plancskale uko hapa DUNIANI kwa sababu gani?Ukipata jibu lzm uwe Muislamu.
Extremists kama nyinyi ndio mnaochinjana kule Iraq na Syria sasa hivi halafu mnasema Mungu karuhusu yaani hata nyinyi mnashindwa kupambanua kati ya matakwa ya mungu na ya Binadamu, ye @PlanckScale ameuliza swali la msingi saaana.. kama Mungu amemruhusu Jack Wolper kuwa Mkristo nyinyi kinawauma kitu gani?. Wolper alikuja kwenu amegundua alichemka, akafanya maamuzi na sasa amemrudia Yesu. Stop debating
 
TABIA ya staa wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper kubadilibadili dini mara kwa mara imeonekana kuwakera watu mbalimbali akiwemo Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Musa Salum ambaye amemcharukia vikali.


Staa wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper akipozi.
Wolper kiimani ni Mkristo lakini hivi karibuni alibadili na kuwa Muislam kabla ya kurejea tena kwenye imani yake ya awali ya ukristo.
Sababu ya Wolper kubadili dini ilikuwa ni kufunga ndoa na aliyekuwa mchumba wake Abdallah Mtoro ‘Dalas’, walipoachana akaamua kurudi kwenye ukristo.
Akizungumza na Risasi Jumamosi juzikati, Shehe Salum, alisema Wolper anapaswa kujichunguza na kubadilika haraka kwani kitendo anachofanya ni kinyume na taratibu za dini.
“Siyo vizuri hata kidogo na hata dini zote zinakemea kitendo cha kuchezeachezea dini kwani ni chukizo kwa Mungu.



Jacqueline Wolper akiwa kazini.
“Kwa upande wa Dini ya Kiislamu, kuna sheria kali zaidi kwa mtu akionekana na tabia hiyo, anaweza hata kuuawa hivyo wanaofanya mchezo huo waache kwani siyo vizuri. Huko ni kumfanyia Mungu dhihaka,” alisema Shehe Salum na kuongeza:

“Unajua suala la imani ni kitu kinachomhusu mtu binafsi, ni vyema kufanya uamuzi wa hakika na kushika njia moja na siyo kufanya dhihaka na dini ya Mwenyezi Mungu. Ni kitu kibaya sana.”

Naye Juma Suleiman, mkazi wa Ilala, jijini Dar es Salaam alimwambia mwandishi wetu kuwa, katika imani ya kiislam kunakatazwa watu kucheza na dini huku akisisitiza anayefanya hivyo anaweza kulaaniwa.

“Dini siyo kitu cha kuchezea, ni daraja la kumfikisha mtu kwenye haki, si mahala pa kuingia na kutoka, kuingia na kutoka. Huko ni kucheza na Mungu. Namshauri huyo mtoto (akimaanisha Wolper) abadilike. Asifanye mchezo na imani, Mungu anaweza kumlaani kwa kumchezea,” alisema Suleiman.chanzo.http://jocyberspace.blogspot.com.tr/2014/06/kimenuka-mbaya-shehe-amtolea-uvivu.html

Tatizo lenu liko hapo. Mtu habadili dini kwa vile anaamini kuwa imani for that matter dini ile ndiyo sahihi. Ni tumbo tu! njaa, uhuni wa zinaa. Ndio maana ukiweza mwache mtu abaki na dini yake! Mimi naona ni sawa tu acha aruke ruke anavyotaka. Udhabu mwachie Mungu, kwa nini mnataka kumpigania Mungu mwenye uwezo wayote?
 
wacha kucheka ovyo, hebu tazama ndugu zako wanaanya nini 21st century!Nyie si mtasambaza maradhi namna hii??yaani NI UCHAFUMTUPU
The way you argued, It sounded like Camel Urine has made you get drunk or maybe you overwhelmed by too much fecal matters Cocktail taken from corpses or something like a disease from flies attached you and you forget how to dip the right wing of the fly. I advise you don't drink that shi.t again. It awful.
You have to wonder--why we've so many blades but you never trim your beards & moustaches, your look like savage. So many chairs but you keep sitting on the damn floor!.
So many forks, spoons, Chinese sticks but you still using bare hand on eating.
Why not wearing shoes, Your trousers is too short, don't you want to be Smart?
Why depending on the Moon & star (the Old Stone Age time keeping technique), we've plenty of Calendar, Are you a sorcery of fortune tellers. And yet you've claim to be civilized.
Let me ask is your woman educated too? Allow her to go school .Don't make her zombie.. Your living in a civilized world. We are trying to help you.
Look hidden clues in your culture downt here
weird news: Amou Haji, an 80-year-old Iranian, is being called the world's dirtiest man. In an article published Jan. 6, he told the Tehran Times that he hasn't bathed in 60 ;Amou Haji, 80-Year-Old Iranian Man, Smokes Animal Poop, Says He Hasn't Bathed In 60 Years (PHOTOS)
E4EI01m.jpg

o99zYEW.jpg
9Pf0hAX.jpg
UwilKbH.jpg
6OL802M.jpg
h4SCvyB.jpg
 
huyo mwanamke Alikuwa mwizi tu! Hakuna cha Yesu wala mama yake na yeesu,akitokea muhindi kesho na hela zake, sasa hivi Utamuona huyo unasema ameruhusiwa kuwa mgalatia anavaa kihindi,na zile nywele za kipilipili anaziongeza awe kama muhindi.Nyie bei yenu ni rahisi mno
Hakuna cha mwizi wala nini.. Moyo Unapopenda..Jamaa yenu alikuja kwa gia ya kuhonga, hakuja kimapenzi zaidi. hivyo wolper Akimpenda muhindi mchina, hilo ni swala la Moyo.. sio mwisho wa Dunia, anayohaki ya kupenda popote na kutopenda popote tena. maisha yanaendelea why heck?
Kuhusu nywele, mimi sio conservaitve hivyo avae avae anavyotaka yule ni msanii..na hujamuoa wewe wala mimi..hayanihusu na hayakuhusu pia.
 
Kwa hio huyo mwanamke anapenda wanamme kuliko Yesu?Halafu bado unamuita eti kaamuliwa na mungu wako kuwa mkilisto?Kaaz kweli kweli
Nyinyi ni watu wa Dini, siku zote kauli zenu hazitofautiani kwakuwa mnafuata Dini na Taratibu za Dini. Sishangai mkisema dini* inachezewa, badala ya Mungu anachezewa, pengine mungu sio muhimu kuliko Dini ama Dini kwenu ndio mungu mwenyewe manake hata adhabu mwazitoa nyie na sio huyo Allah. kwakuwa nyinyi ni watu wa Dini.

Kwa mkristo anaelewa maana ya ukristo*. anafahamu kwamba Unaweza kuwa na dini lakini huna Yesu.L
akini ndio utofauti wenyewe. Kwani unapomfuata Yesu unapaswa kujikana mwenyewe. Sasa hilo ni Swala binafsi la Jack kujitambua kama Yesu yu maishani mwake au amebeba dini mgongoni mwake.Na je akipata mume asiyemuumini kama yuko tayari kumkana Yesu tena. Na yesu alishasema ampendaye baba yake ama mama yake kuliko yeye hamstahili.Na yule amkanaye Yesu mbele za watu naye atamkana mbele ya baba yake aliye mbinguni. Ni wazi kwamba Dini* yako inahusika zaidi katika kumtaka mtu amkane Yesu kristo.
----------------------------------------------------------------
Ila kwa imani yako mtu akishaitwa rashidi tu ameshakuwa mwislamu swafi ....na kama ni hivyo basi mpo wengi sana. wengine mnaimba bongo fleva, mnakaa nusu uchi, na hamchukiwi kwakuwa mnatafuta maisha na viongozi wa dini yenu wanawasifu kwakuwa ni waislamu wanafanikiwa kupitia anasa za Dunia.
Ni Ajabu sana!!.
Mngewaiga kidogo wazenji kama kweli mnataka kufuata dini mngewapiga marufuku wasanii wote wa dini yenu wasijihusishe kwenye bongo fleva na ngoma za sikinde na zile wanaita vigodoro. Na mngeacha kupeleka watoto shule.
 
Maneno yako.meeeeengi lkn hayana lolote la maana.

Bla...bla....bla...!
Haya tunayasikia kila.siku kwa mapadri na wachungaji walio laaniwa na MUNGU.

We subiri Adhabu ya MUNGU TU kwa kuabudu sanamu na kuabudu wazungu.

Usije niharibia swaumu yangu.
"I am out of this rubbish"

Adios




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wapagani mpoo? Maana ninyi bora, hamfuati wazungu wala waarabu!
 
Back
Top Bottom