Mkuu shule ulienda kusomea ujinga? mbona hujui kuandika?Mnyama TID anadai alipwe miliion ishirin kabla hajawapeleka kuwalaza central Quick lock kwa wiz wa nyimbo yake aliyoiba ambayo mnyama anadai hapo awali hiyo nyimbo iliweza kubeba tuzo mbili habal kamili nakuletea
Mbona makonda anaingilia matumizi ya hela za manji?Matumiz ya hela yake atajua mwemyewe
Nae kama hajafulia analilia wimbo una umri Wa MTUHapana kuna watu wamefuria kinoma had wameanza kuiba nyimbo za watu sasa mnyama kasituka
Kama hajaipata hiyo hela kwa miaka yote hiyo iweje Leo aombe kwa mwenzake hela nyingi hivyoHapana ile nyimbo ni kubwa sana inatunzo mbili had mda huu tuzo moja ya nyumban na nyingine ya kimataifa ambayo mnyama aliichukulia kenya
Makonda msanii zaidi yake kamtumia kamwachaAnataka hiyo fidia akanunue vifaa vya muziki maana aliomba hela kwa serikali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...ati ulojua Far..Jo..very funny?!!!Nimekuja fasta nikajua Faru John
[emoji2][emoji2]..you serious!!Zile milioni mbili alizo pewa na makonda zimeisha?
Aende kwa Bashite wakatunge mwingine....Mnyama TID anadai alipwe miliion ishirin kabla hajawapeleka kuwalaza central Quick lock kwa wiz wa nyimbo yake aliyoiba ambayo mnyama anadai hapo awali hiyo nyimbo iliweza kubeba tuzo mbili habal kamili nakuletea
Wakiziweka nistue mkuuHebu ziwekeni hapa zote mbili ile ya TID na huyo Quick Rocker tusikilize kwanza.
Hebu ziwekeni hapa zote mbili ile ya TID na huyo Quick Rocker tusikilize kwanza.
Wameziweka zote 2.Wakiziweka nistue mkuu