Sasa mtu kampost demu wake nyie kinawauma nn kisa ommy kumkanya mtoto wake ndio mnatoka povu eti kwa hio mkuki kwa ngurue mtamu kwa binadam mchungu [HASHTAG]#mwambie[/HASHTAG] daimond wenu apambane na hali yake aliyataka mwenyeweTumia ubongo kufikiri mm nimemtaja ommy ama nimesema Kendra katusiwa na ommy?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww umevurugwa sio bure.Sasa mtu kampost demu wake nyie kinawauma nn kisa ommy kumkanya mtoto wake ndio mnatoka povu eti kwa hio mkuki kwa ngurue mtamu kwa binadam mchungu [HASHTAG]#mwambie[/HASHTAG] daimond wenu apambane na hali yake aliyataka mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Bibie ommy hana huo uwezo wakati yeye mke wa mtu.Sasa mtu kampost demu wake nyie kinawauma nn kisa ommy kumkanya mtoto wake ndio mnatoka povu eti kwa hio mkuki kwa ngurue mtamu kwa binadam mchungu [HASHTAG]#mwambie[/HASHTAG] daimond wenu apambane na hali yake aliyataka mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena kashika nyonyo ya bi kandraBibie ommy hana huo uwezo wakati yeye mke wa mtu.
Kupiga picha na mama mondi ni kawaida coz walikua marafiki na chibu.
Na yale mafuta aliopost juzi alikua anafuta envelope tu nothing else
Heeee au mwenzangu wewe nyonyo lako linakaa begani [emoji15][emoji15][emoji15]Tena kashika nyonyo ya bi kandra
invest what you are willing to lose
Wacha walalame huku biashara inafanyikaFURSA KWA NDUGU ZANGU WAKULIMA WA KARANGA.... sasa waweza kutuuzia karanga mbichi nyeupe zenye rangi ya kwenye picha hapo, Maarufu kama Super Quality Small size....kuna nafasi ya kununua hadi Karanga Tani mia moja (Tani 100) kwa kila Mwezi... Usafi na Ubora wa karanga zako ndio nguzo ya kwanza sisi kuweza kuzinunua karanga zako....Wasiliana nasi kwa namba hizi +255714993724 @diamondkaranga [HASHTAG]#NogewaJirambe[/HASHTAG] MAZINGATIO: 1. Karanga ndogo Nyeupe (Super Quality Small Size) 2. Ziwe Safi sana sana. 3. Zifungwe katika ujazo wa kilo 20 kwa kiloba. 4. Tunanunua kwa Bei kati ya tsh 2300 - tsh 2700 kwa kilo. 5. Maitaji yetu ni tani 100 kwa mwezi. 5. Piga simu: +255-714-993-724 -
we kwel jazajaza na alvo na sura mbaaya ka domo la mondi ulwezaje aseeNumbisa mtamu kuliko kawaida
we kwel jazajaza na alvo na sura mbaaya ka domo la mondi ulwezaje asee
Wacha walalame huku biashara inafanyika
Hata mi naona..[emoji125] [emoji125] [emoji125]Kijana anajua kukamata fursa za kiuchumi vizuri
Aliniforce mkuuwe kwel jazajaza na alvo na sura mbaaya ka domo la mondi ulwezaje asee
Chukua kibakuli uzitembeze mtaani kama wale wanaosimamaga stendFURSA KWA NDUGU ZANGU WAKULIMA WA KARANGA.... sasa waweza kutuuzia karanga mbichi nyeupe zenye rangi ya kwenye picha hapo, Maarufu kama Super Quality Small size....kuna nafasi ya kununua hadi Karanga Tani mia moja (Tani 100) kwa kila Mwezi... Usafi na Ubora wa karanga zako ndio nguzo ya kwanza sisi kuweza kuzinunua karanga zako....Wasiliana nasi kwa namba hizi +255714993724 @diamondkaranga [HASHTAG]#NogewaJirambe[/HASHTAG] MAZINGATIO: 1. Karanga ndogo Nyeupe (Super Quality Small Size) 2. Ziwe Safi sana sana. 3. Zifungwe katika ujazo wa kilo 20 kwa kiloba. 4. Tunanunua kwa Bei kati ya tsh 2300 - tsh 2700 kwa kilo. 5. Maitaji yetu ni tani 100 kwa mwezi. 5. Piga simu: +255-714-993-724 -
tabia za ki madale hizi.. hata ommy unadhan altaka mwenyewe kwa b mdash?Aliniforce mkuu
.... tchaaaaa
ukisikia ubuyu first class ndio huu
hata shigongo anasubiri aisee
I am speechless kwa kweli
Kashasema ndoa ya kiislam ni halal Hiyo. Mpk kwa Allah. Kuachana, kuacha, kuachwa vitu vya kawaida hivo mbona yeye kaachwa Hana jipya Aseme kingine hanaga jema Kwenye familia ya Diamond siku zote
Mimi namjua mganga wao.Salam anamshauri vibaya Diamond, wanaamini bifu ndo zimewasaidia kufika hapo walipo, may be Yes,ila wasidhani ndo zitawasaidia kila siku. Leo Diamond katukaniwa mama yake. Ommy nae kaona apige panapouma. Kama alivyosema ukiwa vitani silaha yoyote itakayomuumiza adui itumie. Aibu kwa kweli hawa vijana wa Kigoma kufanyiana upumbavu kama huu.