me and I
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 1,540
- 1,357
- Thread starter
- #381
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Numbisa mtamu kuliko kawaida
Hapo dai heshima lazima irudi amezoe alimwita mwenzio shoga watu wakakaa kimya leo upande wake kunawatu wanatoa povuwatoto wamekorofishana uko mitaani ila mmoja alivyoona anapoteza pambano katumia silaha za kutoana damu,Diamond kamtukanisha mama ake kibwege tu na imekua habari kwenye mitandao kua watoto wenzake wanamla bi mkubwa wake hakika usianzishe ugomvi wa mawe kama unaishi nyumba ya vioo ila nimewaelewa sana Diamond na bi mdashi wake maana Diamond anajiweka kwa wahenga wakati bi mdashi anapumzika kwa vi-Ben 10 hee heeee heeee mdogo wangu Kiba angepoteza pambano kwa upole wake amshukuru Dimpoz kashusha Nuclear Bomb mpaka wadau wameanza kuomba amani ichukue nafasi yake maana kijana Nassib akutegemea kama wangemvua nguo kabisa duh ila ingekua mimi ningewasaka ki-mtaani aiseeeee yaani unaweka picha ya bi mdashi kuthibitisha tetesi za muda mrefu kua ni baba wa kambo.
Je wewe utajisikiaje mtu asema wewe ni shoga mbele ya watu kwa hio ommy yeye anaroho ya chuma itabidi akubaliane na hali maana yeye ndio aliye anzaMkuu.. Mama apewe heshima yake. Mama yako anaweza kuwa mama yangu pia.
Mm na ww undugu umetoka wapi?
Kabamia wakati huwa unakanyonya
Tusi gani ommy katuna hapo kwa hata mm nikiweka picha niko na mpenzi wangu nimemtukaProf ujue huu ujinga wa wanawake kutumiwa insta na kwenye mitandaoni mingine umeanza taratibu na Sasa unajua kwa Kasi ya ajabu.
Walianza kwa kumtusi Hamisa, kisha zari Sasa Kendra nakuambia kesho itakuwa ni zamu ya mwanamke mwingine.
Kipindi cha nyuma wema alitusiwa sana akina Irine na wengine.
Cha ajabu hakuna mwanamke yyte aliyesimama kusema jambo hili halikubaliki yaan wanawake nao tukawa ni sehem ya kutoa matusi hayo pasi kujali kwamba wanawake hawa hawana tofauti na wasiokuwa mastaa.
Haya matusi ya nguoni ambayo tunaruhusu hawa vijana wadogo wa kiume watutukane ni kwasabb wanajua wanawake hatupendani na hivyo hakuna atakaye simamia kulipinga hili.
Hivi wanawake wakipaza sauti unafkir hata kuna mtu angenyua simu yake na kuandi ka upuuzi huu?
Cha ajabu kabsa huyo aliyempost Kendra na huyo shamte kutumiwa hizo picha ba mwanamke. Yaani nkajiuliza hivi ni uzuz wa kiasi Gani huu? Yaan mtu unamfuatilia mwanamke mwenzio ili umpige picha kumdhalilisha kwenye mitandao?
Nakuambia ukombozi wa mwanamke hauwez kufika ikiwa Hali ya chuki miongoni mwa wanawake haijaondoka.
I feel so sad kwa wahanga wote wa huu udhalilishaj kuanzia hamisa, zari na Kendra
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi nmekusamehe usilie tenaMaskin ona unalia kabisa aiseee
Sijasikia vizuriWife vp mbona povu limepungua?
Huyo dada huwa ananitaka lakn namkataaga kila sikuSijasikia vizuri
invest what you are willing to lose
Omy kasema kama diamond atarudia verse ya pili basi atatuma ya chumbaniUngeyasema hata tangu diamond alivyomuita mobeto "bitch" mobeto nae Ni mzazi na Ni mwanamke kama hao wanawake unaowatetea sasa hivi,Kwa bahati mbaya wasanii waliopo Kwa sasa sijaona msanii anaewakosea heshima wanawake kama diamond,amekua ndo ring Leander Wakutoa matusi juu ya mama,dada na Shangazi Wa watu wengine,wache na yeye asikilizie how it hurts...
Nilitamani ommy hata angekuwa na picha ya uchi ya Bi Sandra angetuwekea tu tuone vitako vya Bi Sandra vilivyo vikavu..siku zote daw ya jeuri Ni kiburi..!!
Basi nmekusamehe usilie tena
Utakuja kunikosesha mke ww sikutakiHahahah shost mbona unakimbia hahahaaa
Huyo dada huwa ananitaka lakn namkataaga kila siku
Boss basi yameisha [emoji15] [emoji15] [emoji119]HuhuhuuuuuView attachment 573850
Sasa kama mama mwenyewe hajiheshimu yeye kazi kudanga tu vitoto we unategemea niniDuuh.. Kea iyo wewe unaona fresh mama akidhalilishwa na mshikaji.?
Tumia ubongo kufikiri mm nimemtaja ommy ama nimesema Kendra katusiwa na ommy?Tusi gani ommy katuna hapo kwa hata mm nikiweka picha niko na mpenzi wangu nimemtuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwni ommy hawezi kua baba wa kufia daimondUlihitaji aseme neno gani ndio ajue kamdhalilisha.? Kapost pic yupo na mama ake halafu anasema yeye ndie baba ake. Hebu jifikirishe mwenyewe.