playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,648
- 1,566
akili za diamond n mbovu ukikaa kimya anaona kashinda au umemuogopa hiyo ndo dawa ili siku nyingine afikirie Mara mbiliMond na kuvuka kwake border baado ana mambo ya uswahilini!Naye Ommy angetumia hekima anyamaze asimjibu kitu.Ndo maana mziki wetu haufiki kokote.
Basata Fungia Wote Hawa.
Sent using Jamii Forums mobile app