Lakn anamkula bimkubwa wenuHilo bwabwa nalo linatafuta kiki tu. Linajikuta na lenyewe kichwa. Sasa mama mtu hapo anaingiaje.? Akili za matako nazo ni shida anafikiri kama mwanamke nayeye. Awaache wanaume wapambane wenyewe.
Si wamkanye huyo ndugu yao Aache uswahili maana kawachokoza mwenyeweDuh!!!haya mambo huwa yanaanza kama madogo baadaye yanakuwa makubwa naona dada mtu kareplay kwa uchungu sana[emoji116]
-Ndumilakuwili-
Mkuu hii ni Mara ya Pili ommy amagusia hili inaweza kuwa kweliHii ss shida bmkubwa kupenda muwa wa vijana rika la watoto wake. lkn sitaki kuamini kama mjomba alipiga uyo bi kizee
Unakula kwa kutumia nini. Mkikaa ndan wote KeBinti naekula bimkubwa wenu
Domo ndo kawachokozaIla oomy anaingilia sana maugomvi ya watu
Siamuache dai ajibu mwenyewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mashabik wa diamond bwana eti saiv wanajifanya kulia lia na kumwomba daimond asijibu mapigo...lakin juzi alipokuwa anaanzisha vijembe walimsifia kweli
hii vita inataka kuelekea kwa kina pac n big ''u claim to be a player but i f@#k yo wife" pac's verse
Mzazi mwenyewe hajajiheshimu kutwa kuuza sura mitandaoni ataheshimiwa na nanHivi walishindwa kujibizana wenyewe bila kuwahusisha wazazi....
Heshima ya mzazi lazima itunzwe.
Haliwezi kua kweli wakat yeye analiwa na sio mchicha mwiba
Dayamondi kamfanyaje huyu Dada dimpoz? Wengine tupo Isyesye hizi habari zisizo na faida zinatupitagaDomo amezidi
Anapenda kudhalilisha wenzie kisa apate kiki
Pole kwa mzazi wake (sijui huwa anamkanya????)
Siungi mkono alivhokifanya ommy ila hiki kiranga domo kakitafuta mwenyewe
Amelikoroga alinywe
Kabisahii vita inataka kuelekea kwa kina pac n big ''u claim to be a player but i f@#k yo wife" pac's verse
Aisee Dimpoz kiboka naskiaga hatunaga ubimkubwa tunakula?Unakula kwa kutumia nini. Mkikaa ndan wote Ke
Unaushahidi kama analiwa?Haliwezi kua kweli wakat yeye analiwa na sio mchicha mwiba
[emoji139][emoji139][emoji139]Hehehe daimond mchokoz sana,,,acha atukanwee
Kwenye battle hekima huwa haihitajiki.Mond na kuvuka kwake border baado ana mambo ya uswahilini!Naye Ommy angetumia hekima anyamaze asimjibu kitu.Ndo maana mziki wetu haufiki kokote.
Basata Fungia Wote Hawa.
Hizo taarabu tu za malkia wa nguvuHaliwezi kua kweli wakat yeye analiwa na sio mchicha mwiba
Ushahid uko wapi??Unaushahidi kama analiwa?
Yeye ushahidi upo kama amemgonga bimkubwa wenu