Kimenuka: Ommy Dimpoz amjibu Diamond, amuita mwanae

Kimenuka: Ommy Dimpoz amjibu Diamond, amuita mwanae

Hawa watoto watatu wa Kigoma waige mfano wa kaka zao Chege Chigunda mtoto wa mama Said au Banana Zorro.......jamaa huwa hawana habari za kipumbavu pumbavu.

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
 
Duh!!!haya mambo huwa yanaanza kama madogo baadaye yanakuwa makubwa naona dada mtu kareplay kwa uchungu sana[emoji116]
f50501607091ff483becf6838d8586eb.jpg


-Ndumilakuwili-
Si wamkanye huyo ndugu yao Aache uswahili maana kawachokoza mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom